Nimekutana na skin walker usiku wa kuamkia leo. Alikuwa binadamu, akageuka kuwa mbwa

yaani kunywa beer mbili unaona majini dah acha pombe
 
Mlimshirikisha Mshana Jr?
 
Wanajua hata chifu ni nani? Pia kuna watu wazima tu hua wanabisha hawa ndio wale wavaa pensi za kubana mapaja..hao vitoto vya 2000 wanachojua ni mauno ya diamond na vimatako vya zuchu na malaika cute...
 
Hata kapicha??
 
...Yaani Walinzi washuhudie wenyewe Kisha wakunyime copy ya clip hiyo inayoonyesha Nini ?? Sababu Yao Nini ? Wanamlinda Jini ???...Au story nzima ni Uongo TU ??
Walisema wao hawana ruhusa ya kutoa copy bila written order kutoka kwa meneja wa hoteli.

All in all unafahamu ninini kuhusu brand protection?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…