EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Unashenyetwa tena wewe ndio liskin walker lenyewe huwa unabadilika mpaka kuwa skin tightNI mama yako, wachawi wakubwa nyie, mnajidai hamyajui mnayoyafanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashenyetwa tena wewe ndio liskin walker lenyewe huwa unabadilika mpaka kuwa skin tightNI mama yako, wachawi wakubwa nyie, mnajidai hamyajui mnayoyafanya
😂 uishe mara ngapi, dipresheni hiyo kuona bado mwaka hujaisha.Tumefosi hadi tunaona visivyokuwepo, aaah huu mwaka na uishe tu🤣🤣🤣
Badoooo! Hauishi mpaka uishe.😂 uishe mara ngapi, dipresheni hiyo kuona bado mwaka hujaisha.
Haya mambo sikuwa nikiyaamini kabisa mpaka ile siku yaliponikuta ndo ulikuwa mwanzo wa mimi kuamini kuhusu hao viumbe 😣
Jidanganye hivyo hivyo dadaBadoooo! Hauishi mpaka uishe.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwa hio bro huamini ?Acheni pombe wewe na mkeo.
Ni bora mvute bangi
Hakuna watu wanajiona wameula kama wagawa chakula kwny halaiki....hagaaSubiri nimalize kuwagawia wote chai, hii story inaendelea tukiwa tunakunywa...
View attachment 3173557
Mlimshirikisha Mshana Jr?Usiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari letu lililokuwepo maeneo ya maegesho ya Golden Tulip, Oyster Bay.
Mwanga wa eneo la maegesho tulikiwa mkali, tukiwa umbali wa kama Meta kumi kutoka kwenye gari, tuliona mwanaume mwenye kama urefu wa futi SITA amesismama wima kwenye mlango wa nyuma wa gari yangu.
Wote tukiwa tumemkazia macho, alageuza pozi akawa kainama kama anafunga kamba za viatu, mara akageuka kuwa mbwa, na kutokomea. Wote tukapigwa na mshangao.
Mke wangu akaogopa kabisa hata kuingia kwenye gari, akawa anaogopa hata Sauti za mawimbi ya bahari.
Nikajaribu kumtuliza lakini kiwango chake cha taharuki kikawa juu sana, hadi walinzi ikabidi waje kujua kuna Nini?
Nikawaelezea tukio, wakabisha, wakasema twende kwenye CCTV camera kuangalia footage.
Basi wakaridisha video ya eneo like, na wenyewe wakaona hakika kilichotokea.
Tukajaribu kuomba copy ya kipande hicho cha video tumekataliwa.
Lakini hakika ukistaajabu ya Musa, utayaona ya uncle Firauni.
Wanajua hata chifu ni nani? Pia kuna watu wazima tu hua wanabisha hawa ndio wale wavaa pensi za kubana mapaja..hao vitoto vya 2000 wanachojua ni mauno ya diamond na vimatako vya zuchu na malaika cute...Vitoto vya 2000s huwa ni vibishi sana na vikishapata degree basi wanajua wameimaliza dunia! Huwezi kuimaliza dunia halisi kwa karatasi (kusoma) ,tembea huko duniani ujionee!
Huwa hawajiulizi kuhusu wale machifu wanaomsimika rais au rais anaenda kuonana na chifu! Wanajua chifu ni balozi??
Hata kapicha??Usiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari letu lililokuwepo maeneo ya maegesho ya Golden Tulip, Oyster Bay.
Mwanga wa eneo la maegesho tulikiwa mkali, tukiwa umbali wa kama Meta kumi kutoka kwenye gari, tuliona mwanaume mwenye kama urefu wa futi SITA amesismama wima kwenye mlango wa nyuma wa gari yangu.
Wote tukiwa tumemkazia macho, alageuza pozi akawa kainama kama anafunga kamba za viatu, mara akageuka kuwa mbwa, na kutokomea. Wote tukapigwa na mshangao.
Mke wangu akaogopa kabisa hata kuingia kwenye gari, akawa anaogopa hata Sauti za mawimbi ya bahari.
Nikajaribu kumtuliza lakini kiwango chake cha taharuki kikawa juu sana, hadi walinzi ikabidi waje kujua kuna Nini?
Nikawaelezea tukio, wakabisha, wakasema twende kwenye CCTV camera kuangalia footage.
Basi wakaridisha video ya eneo like, na wenyewe wakaona hakika kilichotokea.
Tukajaribu kuomba copy ya kipande hicho cha video tumekataliwa.
Lakini hakika ukistaajabu ya Musa, utayaona ya uncle Firauni.
Nenda pale Golden Tulip Oyster Bay, kaulizieHata kapicha??
HakikaWanajua hata chifu ni nani? Pia kuna watu wazima tu hua wanabisha hawa ndio wale wavaa pensi za kubana mapaja..hao vitoto vya 2000 wanachojua ni mauno ya diamond na vimatako vya zuchu na malaika cute...
TrueHumu ndani ukiona watu wanabisha sana ujue hao ndio wachawi wenyewe huko walipo..
Pameandikwa wapi?Ndo mkome kuingilia mda wa watu kufanya mambo yao. Sasa saa saba usiku hujui ni mida ya wanga?
Walisema wao hawana ruhusa ya kutoa copy bila written order kutoka kwa meneja wa hoteli....Yaani Walinzi washuhudie wenyewe Kisha wakunyime copy ya clip hiyo inayoonyesha Nini ?? Sababu Yao Nini ? Wanamlinda Jini ???...Au story nzima ni Uongo TU ??
Una umri gani kwani!Mimi binafsi huwa siamini uwepo wa hivyo vitu huenda ni elusion tu