MATEO GODFREY
Member
- Apr 7, 2014
- 55
- 89
Yes hapo ndio napata picha pengine ni za pikipiki maana naona hizi ni 0.4mm na gari ni Suzuki swift M13 engine naona inadai 16mmDuh 10k? Labda chinise maana kigamboni kuna viwanda au za pikipiki
Nenda BOSCH wanazo og 240000Habari wadau
Jana Nimekutana na Spark plugs Denso iridium sindano elfu 10 Kila moja maeneo ya Kigamboni je hizi Zitakuwa original kweliView attachment 3516971
Moja au kwa full setNenda BOSCH wanazo og 240000
Ofcoz izo feki. Ata kwenye Pikipiki haziendi cheap ivo.