Nimekutana na tukio limeniathiri kiakili kabisa

Unalaumu ng'ombe kutokupewa huduma ya kwanza Je, wewe kama wewe umetoa huduma ipi au umemsaidiaje huyo ng'ombe. Au wewe ni wale wale unaona mtu anapata changamoto barabarani unaishia kupiga picha na kukimbilia jamii forum kupost
Sio mchinjaji na Wala sijulikani mtaani Kwa jamii yetu huenda ningeonekana mwizi ila ningekuwa mfugaji nisinge mfikisha pale bila kumpa huduma ya kwanza
 
Ndiyo maana nilichanganyikiwa
 
Umekuja vizuri, lakini hitimisho lako halina mantiki kabisa. Ni kama tangu zamani ulikuwa katika hekaheka za kusaka visababi (visingizio) vya kulaani maisha, sasa leo uko kama vile umeipata mojawapo.
Umefikikia kijinga sana
 
Wewe ni mkatili zaidi ya yule Mmarekani aliyempiga picha mtoto wa Kihabeshi aliyekuwa ananyemelewa na tai aliwe, lakini yeye akaishia kumpiga picha anaenda zake na kusambaza picha zake duniani bila ya kutoa Msaada wowote kwa yule mtoto. Unajua kilichomtokea yule mpiga picha? Alijinyonga kutokana na msongo wa mawazo! Ahahahahaha!!!!
 
Wangenikuta hapo wachinjaji wangeniua kuwa nataka kuiba au kuroga Kwa kumuacha waliomleta pale vile ni hawako timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…