Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Inawezekana anahisianisha na maisha katili ya jumiia fulani ya siasabila picha haiwezi kutuingia akilini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana anahisianisha na maisha katili ya jumiia fulani ya siasabila picha haiwezi kutuingia akilini
Sio mchinjaji na Wala sijulikani mtaani Kwa jamii yetu huenda ningeonekana mwizi ila ningekuwa mfugaji nisinge mfikisha pale bila kumpa huduma ya kwanzaUnalaumu ng'ombe kutokupewa huduma ya kwanza Je, wewe kama wewe umetoa huduma ipi au umemsaidiaje huyo ng'ombe. Au wewe ni wale wale unaona mtu anapata changamoto barabarani unaishia kupiga picha na kukimbilia jamii forum kupost
Aisee huyo kweli alivunjika ni Bora wangemchinja kwanza kabla ya hao wengine.Mfupa ulikuwa nje
Wewe ni mkatili zaidi ya yule Mmarekani aliyempiga picha mtoto wa Kihabeshi aliyekuwa ananyemelewa na tai aliwe, lakini yeye akaishia kumpiga picha anaenda zake na kusambaza picha zake duniani bila ya kutoa Msaada wowote kwa yule mtoto. Unajua kilichomtokea yule mpiga picha? Alijinyonga kutokana na msongo wa mawazo! Ahahahahaha!!!!Wakati natoka home kuelekea kuangalia mpira nikapitia maeneo ya machinjioni mtaani kwetu .
NIMEKUTANA na ngombe mnyama akiwa amelala chini huku akiwa amevunjika mguu wa nyuma mfupa uko nje nilistuka sana infacts sijawahi shuhudia live binadamu akiwa katika Hali iyo
Nika imagine maumivu anayopitia huyo ng'ombe je waliomfikisha hapo mbona hawakumjali kumpatia huduma ya kwanza au kumchinja ili kuepuka maumivu anayojisikia
Nika-relate na maisha halisia mfano wewe binadamu umevunjika mguu porini huwezi kuomba msaada mtu yeyote wala hakuna mtu karibu then anapita ng'ombe ? Hutotaka kumsemesha kweli?
LIFE HAS NO REAL MEANING
Wangenikuta hapo wachinjaji wangeniua kuwa nataka kuiba au kuroga Kwa kumuacha waliomleta pale vile ni hawako timamuWewe ni mkatili zaidi ya yule Mmarekani aliyempiga picha mtoto wa Kihabeshi aliyekuwa ananyemelewa na tai aliwe, lakini yeye akaishia kumpiga picha anaenda zake na kusambaza picha zake duniani bila ya kutoa Msaada wowote kwa yule mtoto. Unajua kilichomtokea yule mpiga picha? Alijinyonga kutokana na msongo wa mawazo! Ahahahahaha!!!!