THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
- Thread starter
- #21
Zipo mbona sahivi zinarudi makwao kutoka chuoMbeya hamnaga pisi kuna matako makubwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo mbona sahivi zinarudi makwao kutoka chuoMbeya hamnaga pisi kuna matako makubwa tu
Sahivi wanatoa elimu kwa vijana, maambukizi yamepunguaKumbuka kwenye takwimu za mikoa inayoongoza Kwa maambukizi ya HIV Mkoa wa Mbeya upo 3 bora.
Watu wanaenda kusambaza upendo migodini kule Chunya
Hahahaha nyuki wapo unawatakaEndelea tu kufuga nyuki, ipo siku utalina asali...
Pisi zipo miaka inaenda vizazi vinachange mkuuAnatania huyu mbeya na pisikali haiwezekani.
Japo haindoi ukweli kwamba hali ni mbaya kuleSahivi wanatoa elimu kwa vijana, maambukizi yamepungua
Mkuu jaribu kutumia lugha nzuriMtoa mada nae ni pisi kali kwa masela
Ni kweli ila sahivi mbeya ndo mkoa unao ongoza kuwa na vifaa vya kuzuia ukimwi Kinga zinasambanzwa Hadi migawaniJapo haindoi ukweli kwamba hali ni mbaya kule
Hata kwenye ndege za ATCL ama Precious za Ijumaa na Jumatatu wanapanda ma slay queens wengi wengi wakienda ama kurudi Chunya.
Hao video vixens wanalika sana kule
Ndani ndani uko tukuyu kinyikaWanasema 'beauty is in the eyes the beholder'.
Shida ni beholder mwenyewe umetokea Kijiji gani huko Mbeya?
Ntokela?
Vizuri, maana lile baridi ukiwa Mwailubi/Mbeya Pazuri ama City Pub unaweza shawishikaNi kweli ila sahivi mbeya ndo mkoa unao ongoza kuwa na vifaa vya kuzuia ukimwi Kinga zinasambanzwa Hadi migawani
Baridi ni Kali saa moja kuelekea saa mbili Kila mtu yupo anako ishi kumbi za starehe zenywe jioni wanauza chai na uji na pombe kaliVizuri, maana lile baridi ukiwa Mwailubu/Mbeya Pazuri ama City Pub unaweza shawishika
Hatari sana 🙌Baridi ni Kali saa moja kuelekea saa mbili Kila mtu yupo anako ishi kumbi za starehe zenywe jioni wanauza chai na uji na pombe kali
Kalaga baho, hamnaga pisi huko labda kama tafsiri ya neno pisi imebadilikaZipo mbona sahivi zinarudi makwao kutoka chuo
😂😂😂Kweli tukusamehe kwa uandishi huu alafu umetokea hostel meaning ni mwanafunzi wa chuo🫢
Kweli pis ni number E shep sinia kiuno kijiko mda wote ina small🤣🤣
Nimeenda sana mbeya ukikutana na pisi ujue ya kuja..Pisi zipo miaka inaenda vizazi vinachange mkuu
Hakuna namna zaidi ya kumuonea wivu kwa pis kali iki 'small'😀😀😂😂😂
Mkuu, hutaki pisi iki 'small' unaona mwanya..??
Huijui mbeya vizuri wewe. Isije huwa unafikia Mabatini, Nzovwe au Iyunga huko alafu ukawadiss wanambeya. Unatokea wapi mkuu?Nimeenda sana mbeya ukikutana na pisi ujue ya kuja..
Videmu yeusiii,vifupi na vinene kupitiliza.
Mbeya hakuna kitu mkuuHuijui mbeya vizuri wewe. Isije huwa unafikia Mabatini, Nzovwe au Iyunga huko alafu ukawadiss wanambeya. Unatokea wapi mkuu?
Kwa taarifa yako wewe ni konda wa basi la achinwene ndo unalipigia debe..Hamjambo ndugu Watanzania
Siku Tano nyuma nilienda pale shekilango kukata tiketi ya kwenda mbeya. Nimejisogeza mbaka ofisi za bus la Sauli nimeona wamefunga maana nisha zoea kupanda Sauli nikaamua kuuliza wadau wakaniambia bus za Sauli hazipo siku hizi basi bwana.
Kuna mdau mmoja akaniambia kama unaenda mbeya panda achimwene, nikamuuliza ofisi zao zipo wapi akaniambia sogea kama ofisi tatu hivi utakuta ofisi ya achimwene. Nikatembea hatua chache tu naona Bango limeandikwa achimwene safari nikazama ofisini kwao nikatoa salamu kwa muhudumu mkata tiketi.
Basi bwana muhudumu akaniambia unataka bus la asubuhi au jioni nikamwambia lenyewe unaona litakuwa Bomba nikatie mhudumu akaniambia kata la jioni itakuwa Bomba sana basi nikamwambia bei gani akanitajia bei nikalipia huyo kurudi hostel za chuo maana kesho yake nilikuwa nasepa zangu.
Siku ya safari nimepanda pale pale Shekilango mida ya jioni Ile napanda bus naona siti ya mbele wamekaa warembo nikatamani nikae na wale warembo nasogea Ili nitafute siti yangu naona karibu bus Zima wametawala warembo nikahisi au nimekosea bus nini sio kwa warembo wale niliowaona, labda wamekodisha basi.
Mdogo mdogo nikatafuta siti nilio kata ilikuwa dirishani Ile nimefika siti yangu nakuta wapembeni yangu hayupo basi nikakaa zangu huku nikiomba siti ya pembeni yangu awe pisi mida hio ndo bus likawa lina hamsha kuelekea Mbezi, tumefika mbezi abiria wengine wakawa wanaingia.
Ile natupia jicho stendi naona warembo watatu wanakuja upande wa bus niliopanda nikahisi labda mmoja wao atapanda bus naona warembo wote wanazama kwenye bus mmoja wawale warembo naona anakuja kukaa siti ya pembeni yangu naona anasepa careen siti yako ipo huku Ile kutazama mbele naona pisi ni namba E pisi shepu sinia kiuno kijiko color ya chocolate pisi mda wote ina small. Nitarudi ngoja Nipige pasi shati la kesho field
SAMAHANI KWA UANDISHI MBOVU SISI MAENGINEERING NI HISABATI TUMEZOEA