Vipi kama jogoo wake aliyepanga amtafune sikukuu ametorokea kwako,na haamini kuwa utamrudisha kwake?Huyu jirani yetu ni baba ni mtu mzima, tumepakana naye, na mara nyingi mida ya jioni anapenda kukaa kibarazani kwake juu ghorofani, na tushamzoea hivyo.
Usiku wa leo niko narudishia mapazia, ghafla namuona na binoculars (zile za kuonea mbali) ameelekeza huku kwangu anatuangalia na baada ya kuniona wala hajashtuka ameendelea tu kuangalia.
Sasa sijaelewa alikua anafanya vile kwa lengo gani, tumeongea na mtoto wake kwa simu ili amuulize maana niko mwenyewe na vijana wadogo tu na sikutaka kwenda hapo kwake usiku.
- Ingekua wewe kwenye hii situation ungefanyaje?
- Na vipi ushawahi kua na jirani ambaye ni kipengele? ilikuwaje ?
Mtekaji atakuwa nani?Nimecheka sana, ila we Mpare, wakikuteka hatuji kukutetea π
Sawa, nitakua ndani ya Dera kubwa, hata unyayo hauonekaniNamuita mkuu wa kikosi Secretarybird pamoja na Mbaga Jr
tunaomba tukifika uvae nguo ndefu kinyume chake kikosi kinaishia kwako@Binti wa zamani
We mpare, kuja hapa haraka. Utakua unanifanyia nini?Nyie Mkiwa mnamshughulikia mm ntakuwa nampigia nyeto afu nammwagia usoni π
Sitaki, hiyo ni tabia mbaya!Muache tuπ
Nakupigia nyeto then nakumwagia watoto usoniWe mpare, kuja hapa haraka. Utakua unanifanyia nini?
Akili hunaπ€£π€£πHahaha, hizo zilikuwa mbegu ziilizoharibiwa. Nawaombea marehemu hao waliotupwa kwa njia ya nyeto walale mahala pema peponi.
Mbaga Jr
Duuuhπ€£π€£π€£Nakupigia nyeto then nakumwagia watoto usoni
Hii nayo mpya π , yani unanipigia nyeo nipo hapo nakuangalia au nakua wapi?Nakupigia nyeto then nakumwagia watoto usoni
Ukinitazama ukiwa unajichekesha chekesha halafu ukaamka kwenda kunifuatia maji kwisha habari yako!Sawa, nitakua ndani ya Dera kubwa, hata unyayo hauonekani
Nitakaza sura, naweka sura ya kazi haswa, sicheki na mtu!Ukinitazama ukiwa unajichekesha chekesha halafu ukaamka kwenda kunifuatia maji kwisha habari yako!
Wakati huo secretarybird atakuwa anakuonyesha picha za mkojani B na utakuwa umelegea, kitendo cha kuniambia "kariiibuuu maajiii" nakudaka chapu kidogo, Mbaga Jr kuamka kupga nyeto nilishmalizana na weweNitakaza sura, naweka sura ya kazi haswa, sicheki na mtu!
Sasa nyie mtakua mmekuja kunisaidia shida yangu na jirani au kumalizana na haja zenu?Wakati huo secretarybird atakuwa anakuonyesha picha za mkojani B na utakuwa umelegea, kitendo cha kuniambia "kariiibuuu maajiii" nakudaka chapu kidogo, Mbaga Jr kuamka kupga nyeto nilishmalizana na wewe
Si angekuja kugonga aulize πVipi kama jogoo wake aliyepanga amtafune sikukuu ametorokea kwako,na haamini kuwa utamrudisha kwake?
Watu wasiojulikanaMtekaji atakuwa nani?
Ashindwe na alegeeBinti wa zamani..
Huyo anakutaka
Safari moja huanzisha nyingneSasa nyie mtakua mmekuja kunisaidia shida yangu na jirani au kumalizana na haja zenu?
Haa haaa, wazee wa kuhonga nyumba hewa kwenye moja na mbili ππππ acha uchoyo.. nioneshe kiduchu nakununulia nyumba Dubai
ππ Sasa ulikuwepoooo.. we njoo uone Niku spoilHaa haaa, wazee wa kuhonga nyumba hewa kwenye moja na mbili π
Ingependeza kama hawa machawa wangepunguzwa kwa njia hii but it's to late.Kizazi cha uuaji kama cha akina manyonyo ndo tunawapunguza kwa nyeto