Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #181
Kwamba alimwagiwa tui la kwenye kendree 😅😅Hayakuwa makohozi mamaa hayo yalikuwa ni watoto ambao ni microscopic
secretarybird Rayns Binti wa zamani
Kwamba alimwagiwa tui la kwenye kendree 😅😅Hayakuwa makohozi mamaa hayo yalikuwa ni watoto ambao ni microscopic
secretarybird Rayns Binti wa zamani
😁😁😁 acha uchoyo.. nioneshe kiduchu nakununulia nyumba DubaiJiheshimu basi we kizee
Namuita mkuu wa kikosi Secretarybird pamoja na Mbaga JrLete kikosi chako mje mnisaidie, siyo utani ujue
Nyie Mkiwa mnamshughulikia mm ntakuwa nampigia nyeto afu nammwagia usoni 😎Namuita mkuu wa kikosi Secretarybird pamoja na Mbaga Jr
tunaomba tukifika uvae nguo ndefu kinyume chake kikosi kinaishia kwako@Binti wa zamani
Muache tu😃Sijui, leo nimemuona wakati nimetoka bafuni
Hahaha, hizo zilikuwa mbegu ziilizoharibiwa. Nawaombea marehemu hao waliotupwa kwa njia ya nyeto walale mahala pema peponi.Hayakuwa makohozi mamaa hayo yalikuwa ni watoto ambao ni microscopic
secretarybird Rayns Binti wa zamani
Kumbe doctor huwa anaibaga
Binti wa zamani..Huyu jirani yetu ni baba ni mtu mzima, tumepakana naye, na mara nyingi mida ya jioni anapenda kukaa kibarazani kwake juu ghorofani, na tushamzoea hivyo.
Usiku wa leo niko narudishia mapazia, ghafla namuona na binoculars (zile za kuonea mbali) ameelekeza huku kwangu anatuangalia na baada ya kuniona wala hajashtuka ameendelea tu kuangalia.
Sasa sijaelewa alikua anafanya vile kwa lengo gani, tumeongea na mtoto wake kwa simu ili amuulize maana niko mwenyewe na vijana wadogo tu na sikutaka kwenda hapo kwake usiku.
- Ingekua wewe kwenye hii situation ungefanyaje?
- Na vipi ushawahi kua na jirani ambaye ni kipengele? ilikuwaje ?
Kwa uchunguzi makali nilioufanya kwa kushirikiana na jasusi ELI COHEN nimebaini kuwa huyu Mzee aliyekuwa akikuzoom kutoka ghorofani kwa binocular alikuwa mpiga chabo.Namuita mkuu wa kikosi Secretarybird pamoja na Mbaga Jr
tunaomba tukifika uvae nguo ndefu kinyume chake kikosi kinaishia kwako@Binti wa zamani
😂😂😂😆🙌Kwa uchunguzi makali nilioufanya kwa kushirikiana na jasusi ELI COHEN nimebaini kuwa huyu Mzee aliyekuwa akikuzoom kutoka ghorofani kwa binocular alikuwa mpiga chabo.
Tumegundua kuwa wakati anakuangalia alikuwa na kilainishi ambacho angekitumia kuukwea mnazi wake.
😂😂😂Kwa uchunguzi makali nilioufanya kwa kushirikiana na jasusi ELI COHEN nimebaini kuwa huyu Mzee aliyekuwa akikuzoom kutoka ghorofani kwa binocular alikuwa mpiga chabo.
Tumegundua kuwa wakati anakuangalia alikuwa na kilainishi ambacho angekitumia kuukwea mnazi wake.
Ova!😂😂😂
Nimekupata officer bird, upo sahihi.
OVAAAAA
Na NILIJUA FIKA KWAMBA NINGETETEREKA KUGEUKA WAKATI BINTI WA ZAMANI ALIPONIONA INGEKUWA KESI NGUMU KWELI KWELI😂😂Mzee alikuwa anakula chabo kisasa😁
😀😀😀😀