Thesonboy
JF-Expert Member
- Nov 20, 2025
- 895
- 2,499
Kiduchu tu, nione hata mapaja 😉
Kiduchu tu, nione hata mapaja 😉
Unaona raha kuchungulia mademu?Demu
Huyo jirani ana mke? Isije ikawa alikuwa anapiga chabo chumbani kwako.Kwa asiyejua binoculars ni hivyo vidude
View attachment 3522517
Hana alishafariki, ni mzee 75 au zaidi.Huyo jirani ana mke? Isije ikawa alikuwa anapiga chabo chumbani kwako.
Achana na mimi we mzee 😅Kiduchu tu, nione hata mapaja 😉
Kuona tu jamani 🥹Achana na mimi we mzee 😅
Kaone ya mkeo 😎Kuona tu jamani 🥹
Nataka nikuoe uwe mke wangu.. Ili nikuchungulie vizuriKaone ya mkeo 😎

Sitaki kua mke wa pili 😎Nataka nikuoe uwe mke wangu.. Ili nikuchungulie vizuri![]()
Vijana wa hovyo, wanazeeka wanakua wazee wa hovyo 😅
Yaan usiku unajua kabisa ndan kukiwa na mwanga wa nje anakuona vzur afu unaacha pazia waz huo si uchokozWanawake wenu wa siku hizi wana mambo 🙃
Sasa muda wote wawe wamefunga mapazia, hata nje wasipaone jamani?
Shule zinafunguliwa lini?Huyu jirani yetu ni baba ni mtu mzima, tumepakana naye, na mara nyingi mida ya jioni anapenda kukaa kibarazani kwake juu ghorofani, na tushamzoea hivyo.
Usiku wa leo niko narudishia mapazia, ghafla namuona na binoculars (zile za kuonea mbali) ameelekeza huku kwangu anatuangalia na baada ya kuniona wala hajashtuka ameendelea tu kuangalia.
Sasa sijaelewa alikua anafanya vile kwa lengo gani, tumeongea na mtoto wake kwa simu ili amuulize maana niko mwenyewe na vijana wadogo tu na sikutaka kwenda hapo kwake usiku.
- Ingekua wewe kwenye hii situation ungefanyaje?
- Na vipi ushawahi kua na jirani ambaye ni kipengele? ilikuwaje ?
acha wivu we kigoli 😎Sitaki kua mke wa pili 😎
Utuambie wewe Form 3 CShule zinafunguliwa lini?
Lete kikosi chako mje mnisaidie, siyo utani ujue 🙃Hii kali
Tena kali ya kufunga mwaka
Aanha sasa kibabu hivi bado kinahangaika na miguno ya majirani.Ile miguno ndo imekaribisha chabo.