Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #101
Hata sijui, hebu njoo home kwanza. Nina stress!Hivi Yule father sio mtu wa system kweli maana nataka nije kumzingua
Hata sijui, hebu njoo home kwanza. Nina stress!Hivi Yule father sio mtu wa system kweli maana nataka nije kumzingua
Sasahiv au 😋Hata sijui, hebu njoo home kwanza. Nina stress!
Haya karibu, mpwa wangu naye atakuwepo, ukizingua naye akuzingue vizuri.Nakuapia kama ukinikaribisha sitopiga chabo tenaaaa maana nafsi yangu itatulia so naamini ulinielewa vibaya.
Daaah unanivuruga sana, maana ninavyolalaga najua mwenyewe 😂Na zile siku ulisokuwa unaacha pazia wazi la chumbani, nilikuwa natazama kila siku mizigo niipendayo ambao mola kakujaaalia kakupa wewe😋🙌
Hako ka ulimi ka nini?Sasahiv au 😋
KakusafishaHako ka ulimi ka nini?
Nakuja muda huu huu mjomba si ametoka?Ndiyo njoo, au unataka kuja saa ngapi?
Tawire 🤝Popote ulipo ninaamuru sanamu lako lijengwe nje ya ofisi za posta.
Kakusafisha
Amesafiri, njoo kuhakikisha usalama, nishaogopa.Nakuja muda huu huu mjomba si ametoka?
How? hakuna kitu kingine mbele ya baraza lake zaidi ya nyumba yangu.Yamkini hakuwa akiangalia kwako alikuwa na mambo yake binafsi
Ndomaana mzee alitumia binoculars, maana kila akitazama anakosa ushirikiano... Hahahahahaaaa
Sasa taukor flat hata mkononi halijai, unaendelea kuliangalia na binoculars ili iweje?Ndomaana mzee alitumia binoculars, maana kila akitazama anakosa ushirikiano... Hahahahahaaaa
What is another word for a voyeur?Huyu jirani yetu ni baba ni mtu mzima, tumepakana naye, na mara nyingi mida ya jioni anapenda kukaa kibarazani kwake juu ghorofani, na tushamzoea hivyo.
Usiku wa leo niko narudishia mapazia, ghafla namuona na binoculars (zile za kuonea mbali) ameelekeza huku kwangu anatuangalia na baada ya kuniona wala hajashtuka ameendelea tu kuangalia.
Sasa sijaelewa alikua anafanya vile kwa lengo gani, tumeongea na mtoto wake kwa simu ili amuulize maana niko mwenyewe na vijana wadogo tu na sikutaka kwenda hapo kwake usiku.
- Ingekua wewe kwenye hii situation ungefanyaje?
- Na vipi ushawahi kua na jirani ambaye ni kipengele? ilikuwaje ?
Vinauzwaje hivi, nataka niwe naenda kuangalia wale ma beachboy wanavyofundisha wadada kuogelea. 😄 🤣Kwa asiyejua binoculars ni hivyo vidude
View attachment 3522517
Ndo alikua anatafuta aone ujazo.. Maana hata kale ka mtari ka choupi hakaonekani kudadeki.Sasa taukor flat hata mkononi halijai, unaendelea kuliangalia na binoculars ili iweje?
View attachment 3522672
or a weirdo, an old sick weirdo 😖What is another word for a voyeur?
Definitions of voyeur. a viewer who enjoys seeing the sex acts or sex organs of others. synonyms: Peeping Tom, peeper. looker, spectator, viewer, watcher, …
Wewe itakua ndiyo tabia zako hiziNdo alikua anatafuta aone ujazo.. Maana hata kale ka mtari ka choupi hakaonekani kudadeki.
Kamsemee kwa babaake
AnavitukoComment zako mkuu🤣😅😅Huwa nacheka tu mwenyewe....
Nchi imeshashindikana hii 😅Vinauzwaje hivi, nataka niwe naenda kuangalia wale ma beachboy wanavyofundisha wadada kuogelea.