Nimekutana uso kwa uso na jirani akichungulia nyumbani kwetu 😒

Wewe mzee una shida mahali
Ni vile hukunielewa jirani lengo la kubeba bainokulazi ilikuwa ni kutazama angani na maeneo mbalimbaliyamji wetu but nilipoona umerudi nyumbani nikaamua kukutazama maana moyo wangu ulistuka sana nilipoona kishundu kikubwa nyuma yako kilichotikisika kama kuna tetemeko la ardhi kinapata unapotembea KIUKWELI NILISHINDWA KUTOA MACHO YANGU NA NIKARUHUSU UNIONE PIA ILI NIJUE MESSAGE SENT

Kwanza leo nilikua na siku ya hovyo, halafu nakutana na huu ujinga wako umenikera sana
Duuuh pole sana jirani kwa hilo,ila ujumbe wangu ulifika eeeeh😋😆
 
Kwani miaka 75 ndio haifanyia kazi eeh 😎😎
Huyo anaweza kukufia kifuani
Chabo ina raha lake, ukuje ujaribu usisikie la kusimuliwa mpendwa
Hapana, yani nijaribu kuangalia watu wananyanduana?

Hivi huwa mnapiga chabo watu wakiwa kitandani au hata wanawake wakiwa wanafanya shughuli zao za kawaida; mfano mtu anavaa baada ya kutoka kuoga.
 
Huyo anaweza kukufia kifuani

Hapana, yani nijaribu kuangalia watu wananyandiuana?
Hivi huwa mnapiga chabo watu wakiwa kitandani au hata wanawake wakiwa wanafanya shughuli zao za kawaida; mfano mtu anavaa baada ya kutoka kuoga.
😅😅 Angalia usije mkimbia.. nyani mzee kakwepa mishale mingi mpendwaaa...

Chabo tamu ukiwa unaoga 😎
 
Huyu jirani yetu ni baba ni mtu mzima, tumepakana naye, na mara nyingi mida ya jioni anapenda kukaa kibarazani kwake juu ghorofani, na tushamzoea hivyo.

Usiku wa leo niko narudishia mapazia, ghafla namuona na binoculars (zile za kuonea mbali) ameelekeza huku kwangu anatuangalia na baada ya kuniona wala hajashtuka ameendelea tu kuangalia.

Sasa sijaelewa alikua anafanya vile kwa lengo gani, tumeongea na mtoto wake kwa simu ili amuulize maana niko mwenyewe na vijana wadogo tu na sikutaka kwenda hapo kwake usiku.

  1. Ingekua wewe kwenye hii situation ungefanyaje?
  2. Na vipi ushawahi kua na jirani ambaye ni kipengele? ilikuwaje ?
Funga pazia
 
Ni vile hukunielewa jirani lengo la kubeba bainokulazi ilikuwa ni kutazama angani na maeneo mbalimbaliyamji wetu but nilipoona umerudi nyumbani nikaamua kukutazama maana moyo wangu ulistuka sana nilipoona kishundu kikubwa nyuma yako kilichotikisika kama kuna tetemeko la ardhi kinapata unapotembea KIUKWELI NILISHINDWA KUTOA MACHO YANGU NA NIKARUHUSU UNIONE PIA ILI NIJUE MESSAGE SENT
We mzee hauko sawa, meseji gani ulikua unanitumia?
Duuuh pole sana jirani kwa hilo,ila ujumbe wangu ulifika eeeeh😋😆
Ujumbe gani? zaidi ya kunikera na kuniogopesha.
Sasa hivi nawaza, mara zote ambazo sijafunga pazia la chumbani isije ikawa ulikua unanichungulia 🤦‍♀️
 
Huyu jirani yetu ni baba ni mtu mzima, tumepakana naye, na mara nyingi mida ya jioni anapenda kukaa kibarazani kwake juu ghorofani, na tushamzoea hivyo.

Usiku wa leo niko narudishia mapazia, ghafla namuona na binoculars (zile za kuonea mbali) ameelekeza huku kwangu anatuangalia na baada ya kuniona wala hajashtuka ameendelea tu kuangalia.

Sasa sijaelewa alikua anafanya vile kwa lengo gani, tumeongea na mtoto wake kwa simu ili amuulize maana niko mwenyewe na vijana wadogo tu na sikutaka kwenda hapo kwake usiku.

  1. Ingekua wewe kwenye hii situation ungefanyaje?
  2. Na vipi ushawahi kua na jirani ambaye ni kipengele? ilikuwaje ?
Labda una zigo la maana... Linamtoa damu mzee wa watu.
 
Back
Top Bottom