Nimekutana uso kwa uso na jirani akichungulia nyumbani kwetu 😒

Nimekutana uso kwa uso na jirani akichungulia nyumbani kwetu 😒

😅😅 Ka ugonjwa kabaya sana hakooo.. Mie pia napenda sana, kusikia mtoto akitombwaaa alafu jamaa ampatie Yale makelele huwa natamani kucheka, ila huwa naishia kupia salutee kabisaaa Kwa mwambaaa
Ndo huwa unasikiliza huku unavuta hisia hivi au 😅

200.gif
 
Hii ilikua chai ya jioni nadhani.
Nikijaga na stori za kweli manadhani chai, ila zile tea sasa ndiyo mnaziamini 😅
Yeye atumie darubini kukuona ila wewe utumie macho ya kawaida kumuona!
Hayuko mbali, nyumba zimepakana, mita 80 hazifiki toka barazani kwake hadi ndani kwangu, wala hahitaji darubini kutuona tukiwa kwetu, ndiyo nashangaa alikua anaangalia nini mpaka atumie binoculars.
 
We mzee hauko sawa, meseji gani ulikua unanitumia?
Aaah mammy yaani unakuwa kama Mwachiluwi unakaza fuvu😆!!

Me na wewe ni watu wazimaa kwanini tuwafaidishe wananzengoooo??

Ujumbe gani? zaidi ya kunikera na kuniogopesha.
Sasa hivi nawaza, mara zote ambazo sijafunga pazia la chumbani isije ikawa ulikua unanichungulia 🤦‍♀️
Nakuapia kama ukinikaribisha sitopiga chabo tenaaaa maana nafsi yangu itatulia so naamini ulinielewa vibaya.

Na zile siku ulisokuwa unaacha pazia wazi la chumbani, nilikuwa natazama kila siku mizigo niipendayo ambao mola kakujaaalia kakupa wewe😋🙌
 
Back
Top Bottom