Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,253
- 2,166
Anavituko
Sana kumbe huwa unasoma comment zake....Kuna sehemu nyingine inabidi ucheke tu....
Anavituko
Kama kuna mwanaume hapendi kale kamchoro juu ya ule uvimbe, huyo nina mashaka nae.Wewe itakua ndiyo tabia zako hizi
Unanitisha, naogopa 😒😢
Kwako wapi, nije nikuchungulie nione matakoHata sijui, hebu njoo home kwanza. Nina stress!
We si member humuUnanitisha, naogopa 😒😢
Msasani 😎
Kamchoro gani 😅 ambatanisha na pichaKama kuna mwanaume hapendi kale kamchoro juu ya ule uvimbe, huyo nina mashaka nae.
Sawa, niko makiniWe si member humu
Kuwa makini
Linda maisha yako
Nitumie location 😋Msasani 😎
HapanaNitumie location 😋
😏😏Hapana
Du umenikumbusha mbali niliwai kutumia binoculars kutizama mtu nyumbani kwake ...usikuHuyu jirani yetu ni baba ni mtu mzima, tumepakana naye, na mara nyingi mida ya jioni anapenda kukaa kibarazani kwake juu ghorofani, na tushamzoea hivyo.
Usiku wa leo niko narudishia mapazia, ghafla namuona na binoculars (zile za kuonea mbali) ameelekeza huku kwangu anatuangalia na baada ya kuniona wala hajashtuka ameendelea tu kuangalia.
Sasa sijaelewa alikua anafanya vile kwa lengo gani, tumeongea na mtoto wake kwa simu ili amuulize maana niko mwenyewe na vijana wadogo tu na sikutaka kwenda hapo kwake usiku.
- Ingekua wewe kwenye hii situation ungefanyaje?
- Na vipi ushawahi kua na jirani ambaye ni kipengele? ilikuwaje ?
Na kama sijavaa 😒😏Picha me naitoa wapi, we inuka happ ulipo, weka simu kwa nyuma, twanga foto, ipandishe humu.. utaelewa ninacho kisema.. Labda uwe haujavaa choupi
Kumbe ndiyo michezo yenu, ulikua unatazama nini?Du umenikumbusha mbali niliwai kutumia binoculars kutizama mtu nyumbani kwake ...usiku
DemuKumbe ndiyo michezo yenu, ulikua unatazama nini?