Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Ni vile hukunielewa jirani lengo la kubeba bainokulazi ilikuwa ni kutazama angani na maeneo mbalimbaliyamji wetu but nilipoona umerudi nyumbani nikaamua kukutazama maana moyo wangu ulistuka sana nilipoona kishundu kikubwa nyuma yako kilichotikisika kama kuna tetemeko la ardhi kinapata unapotembea KIUKWELI NILISHINDWA KUTOA MACHO YANGU NA NIKARUHUSU UNIONE PIA ILI NIJUE MESSAGE SENTWewe mzee una shida mahali
Duuuh pole sana jirani kwa hilo,ila ujumbe wangu ulifika eeeehππKwanza leo nilikua na siku ya hovyo, halafu nakutana na huu ujinga wako umenikera sana
Huyo anaweza kukufia kifuaniKwani miaka 75 ndio haifanyia kazi eeh ππ
Hapana, yani nijaribu kuangalia watu wananyanduana?Chabo ina raha lake, ukuje ujaribu usisikie la kusimuliwa mpendwa
π π Angalia usije mkimbia.. nyani mzee kakwepa mishale mingi mpendwaaa...Huyo anaweza kukufia kifuani
Hapana, yani nijaribu kuangalia watu wananyandiuana?
Hivi huwa mnapiga chabo watu wakiwa kitandani au hata wanawake wakiwa wanafanya shughuli zao za kawaida; mfano mtu anavaa baada ya kutoka kuoga.
Funga paziaHuyu jirani yetu ni baba ni mtu mzima, tumepakana naye, na mara nyingi mida ya jioni anapenda kukaa kibarazani kwake juu ghorofani, na tushamzoea hivyo.
Usiku wa leo niko narudishia mapazia, ghafla namuona na binoculars (zile za kuonea mbali) ameelekeza huku kwangu anatuangalia na baada ya kuniona wala hajashtuka ameendelea tu kuangalia.
Sasa sijaelewa alikua anafanya vile kwa lengo gani, tumeongea na mtoto wake kwa simu ili amuulize maana niko mwenyewe na vijana wadogo tu na sikutaka kwenda hapo kwake usiku.
- Ingekua wewe kwenye hii situation ungefanyaje?
- Na vipi ushawahi kua na jirani ambaye ni kipengele? ilikuwaje ?
We mzee hauko sawa, meseji gani ulikua unanitumia?Ni vile hukunielewa jirani lengo la kubeba bainokulazi ilikuwa ni kutazama angani na maeneo mbalimbaliyamji wetu but nilipoona umerudi nyumbani nikaamua kukutazama maana moyo wangu ulistuka sana nilipoona kishundu kikubwa nyuma yako kilichotikisika kama kuna tetemeko la ardhi kinapata unapotembea KIUKWELI NILISHINDWA KUTOA MACHO YANGU NA NIKARUHUSU UNIONE PIA ILI NIJUE MESSAGE SENT
Ujumbe gani? zaidi ya kunikera na kuniogopesha.Duuuh pole sana jirani kwa hilo,ila ujumbe wangu ulifika eeeehππ
Asante sanaPole sana
Sawa kiongoziFunga pazia
Hapana aiseeh!Muache apige chabo amalize haja zake
mie sio kiongozi....mie muhuni wa zamani ...ziku hizi nishaacha....Sawa kiongozi
Kumbe wapare unatujua?Nimecheka sana, ila we Mpare, wakikuteka hatuji kukutetea π
Kwahiyo sasa hivi nikuitaje?mie sio kiongozi....mie muhuni wa zamani ...ziku hizi nishaacha....
Ndiyo nawajua vizuri sana shemeji zangu wa Same na MwangaKumbe wapare unatujua?
Labda una zigo la maana... Linamtoa damu mzee wa watu.Huyu jirani yetu ni baba ni mtu mzima, tumepakana naye, na mara nyingi mida ya jioni anapenda kukaa kibarazani kwake juu ghorofani, na tushamzoea hivyo.
Usiku wa leo niko narudishia mapazia, ghafla namuona na binoculars (zile za kuonea mbali) ameelekeza huku kwangu anatuangalia na baada ya kuniona wala hajashtuka ameendelea tu kuangalia.
Sasa sijaelewa alikua anafanya vile kwa lengo gani, tumeongea na mtoto wake kwa simu ili amuulize maana niko mwenyewe na vijana wadogo tu na sikutaka kwenda hapo kwake usiku.
- Ingekua wewe kwenye hii situation ungefanyaje?
- Na vipi ushawahi kua na jirani ambaye ni kipengele? ilikuwaje ?
Kijana wa kuomba matusi naona umefika πLabda una zigo la maana... Linamtoa damu mzee wa watu.
kijana wa zamani aka mzee wa upwiruKwahiyo sasa hivi nikuitaje?
Popote ulipo ninaamuru sanamu lako lijengwe nje ya ofisi za posta.Usiogope, kama waziri wa ulinzi hajui kutumia binoculars, sembuse mwamba hapo
View attachment 3522519
Raha yao DengeluaNdiyo nawajua vizuri sana shemeji zangu wa Same na Mwanga
Kwanini uitwe Mzee wa upwiru?kijana wa zamani aka mzee wa upwiru
Ndiyo nini hiyo?Raha yao Dengelua
upo 24/7Kwanini uitwe Mzee wa upwiru?