elixer of life
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 633
- 624
Energy kama hiyo huwa haitunzwi tafuta namna ya kuipa channel isambae katika mambo mengine soma vitabu vya ki roho, anza kuchora picha mbali mbali hata kama hujui kuchora jitahidi ufute ma-group yako hayo jaribu siku moja uache simu yako mbali na wewe alafu hata usiku ukiwa unataka kuicharge tafuta sehemu nyingine tofauti na chumbani kwako pia futa hizo video za blue zote.Nitoe tongotongo nifanya coz I'm married but nimeshindwa
Ila hili huwa ni tatizo kwa wanandoa wengi sio wewe tu.