Nimekuwa mraibu wa bia @min-me nipe location

BLACK_

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2020
Posts
1,885
Reaction score
4,193
Nimekuwa mraibu wa bia na kwa kweli nahisi kufurahia hii hali
Kwa muda sasa nimejikuta nikinywa bia mara kwa mara

mpaka nikaanza kuhisi kwamba nimekuwa mraibu Cha kushangaza ni kwamba sioni kama inanitesa badala yake nahisi naifurahia hii hali Bia imekuwa sehemu ya starehe yangu

muda wangu wa kupumzika na wakati mwingine njia ya kujisikia vizuri

Lakini hapa ndipo ninapojiuliza je kufurahia kitu ambacho kinaweza kuwa kinanifanya niwe mraibu ni jambo la kawaida Wakati mwingine mtu anaweza asione tatizo kwa sababu bado anaendelea na kazi zake na maisha yake yanaonekana kuwa sawa

lakini utegemezi unaweza kujengwa taratibu bila mtu kugundua

Sitamani kusubiri mpaka pombe ianze kuniletea matatizo ndipo nichukue hatua Ndio maana nawauliza wadau mliowahi kupitia hali kama hii mlijisaidiaje Kuna dalili gani zinazoonyesha kwamba unywaji umevuka kutoka starehe na kuwa utegemezi

Ushauri wenu na uzoefu wenu unaweza kunisaidia kuona jambo hili kwa mtazamo mwingine
 
Attachments

  • 20260806_065512.jpg
    20260806_065512.jpg
    643.1 KB · Views: 6
At least bia mara moja kwa wiki hasa ijumaa jioni na usinywe zaidi ya bia 3 hapo at least, ila kama unakunywa Kila siku huo ni uraibu mkubwa sana unaufanya mwili uwe tegemezi na pombe ambayo siyo nzuri, itaumiza kipato chako na mahusiano yako kwenye jamii, huo ni ushauri wangu ijapokuwa mimi ni teetotaller, kwa ushauri zaidi atakuja kiongozi wa wanywa bia JF min -me
 
hilo GARI niw ewe??? kama ni wewe punguza kwanza injini na vitu vingine vifanye mapumziko pia lipeleke garage na shell kwanza na kulipiga rangi ndio uendelee na pombe
 
At least bia mara moja kwa wiki hasa ijumaa jioni na usinywe zaidi ya bia 3 hapo at least, ila kama unakunywa Kila siku huo ni uraibu mkubwa sana unaufanya mwili uwe tegemezi na pombe ambayo siyo nzuri, itaumiza kipato chako na mahusiano yako kwenye jamii, huo ni ushauri wangu ijapokuwa mimi ni teetotaller, kwa ushauri zaidi atakuja kiongozi wa wanywa bia JF min -me
Anywe kila siku asitegee😀
 
Kwa muda sasa nimejikuta nikinywa bia mara kwa mara
Kabla ya ushauri.
Hii mara kwa mara ina maana gan hasa?.
Yaan mfano kwa wiki. Unakunywa siku ngap?.
Na unakunywa bia gani?.
mpaka nikaanza kuhisi kwamba nimekuwa mraibu Cha kushangaza ni kwamba sioni kama inanitesa badala yake nahisi naifurahia hii hali Bia imekuwa sehemu ya starehe yangu

muda wangu wa kupumzika na wakati mwingine njia ya kujisikia vizuri

Hapa sijaona shida.
Ukiongelea Unywaji wa mara kwa mara. Kuna kipind nilikuwa nakunywa had nilijishangaa.

nakumbuka kuanzia mwaka 2015 had 2018. Tuseme kama ni siku 1,000. Basi labda siku 50 ndio sijagusa bia.

Kuna kipind nilikunywa bia kwa miez 3 mfululizo. Sijapumzika hata siku 1. 😊😊😊.
yaaan hamna hamna basi bia 4 au 3 Kwa siku . Ila weekend najiloweka.
Hizi castle lite nadhan ziliingia kwenye damu.

Sitamani kusubiri mpaka pombe ianze kuniletea matatizo ndipo nichukue hatua Ndio maana nawauliza wadau mliowahi kupitia hali kama hii mlijisaidiaje Kuna dalili gani zinazoonyesha kwamba unywaji umevuka kutoka starehe na kuwa utegemezi

Kipind chote hiko had sasa sijaona tatizo.
ingawa sasa sinywi sana kama huko zamani.

kama ww ni mnywaji na :
Pombe inakufanya kesho yake usifanye majukumu au harakat zako vizur?. Basi acha au unywe weekend.
Au badilisha had upate bia unayoimudu.

Na kama Inakufanya uwe na hasira , vurugu, nyege za ajabu, kutumia hela hovyo, kupunguza kipato chako.
achana nayo. Haikufai.

Au badilisha Bia unazokunywa.

Maana Pombe ni starehe , na sio ifanye uongeze matatizo.
 
Kabla ya ushauri.
Hii mara kwa mara ina maana gan hasa?.
Yaan mfano kwa wiki. Unakunywa siku ngap?.
Na unakunywa bia gani?.

Hapa sijaona shida.
Ukiongelea Unywaji wa mara kwa mara. Kuna kipind nilikuwa nakunywa had nilijishangaa.

nakumbuka kuanzia mwaka 2015 had 2018. Tuseme kama ni siku 1,000. Basi labda siku 50 ndio sijagusa bia.

Kuna kipind nilikunywa bia kwa miez 3 mfululizo. Sijapumzika hata siku 1. 😊😊😊.
yaaan hamna hamna basi bia 4 au 3 Kwa siku . Ila weekend najiloweka.
Hizi castle lite nadhan ziliingia kwenye damu.

Kipind chote hiko had sasa sijaona tatizo.
ingawa sasa sinywi sana kama huko zamani.

kama ww ni mnywaji na :
Pombe inakufanya kesho yake usifanye majukumu au harakat zako vizur?. Basi acha au unywe weekend.
Au badilisha had upate bia unayoimudu.

Na kama Inakufanya uwe na hasira , vurugu, nyege za ajabu, kutumia hela hovyo, kupunguza kipato chako.
achana nayo. Haikufai.

Au badilisha Bia unazokunywa.

Maana Pombe ni starehe , na sio ifanye uongeze matatizo.
Asante sana

Kwa siku bia 4 Hadi 5

Kazi zinaenda kama Kawa nachangamka sana UKu natupia Bubble gum safiii
 
Back
Top Bottom