Kabla ya ushauri.
Hii mara kwa mara ina maana gan hasa?.
Yaan mfano kwa wiki. Unakunywa siku ngap?.
Na unakunywa bia gani?.
Hapa sijaona shida.
Ukiongelea Unywaji wa mara kwa mara. Kuna kipind nilikuwa nakunywa had nilijishangaa.
nakumbuka kuanzia mwaka 2015 had 2018. Tuseme kama ni siku 1,000. Basi labda siku 50 ndio sijagusa bia.
Kuna kipind nilikunywa bia kwa miez 3 mfululizo. Sijapumzika hata siku 1. 😊😊😊.
yaaan hamna hamna basi bia 4 au 3 Kwa siku . Ila weekend najiloweka.
Hizi castle lite nadhan ziliingia kwenye damu.
Kipind chote hiko had sasa sijaona tatizo.
ingawa sasa sinywi sana kama huko zamani.
kama ww ni mnywaji na :
Pombe inakufanya kesho yake usifanye majukumu au harakat zako vizur?. Basi acha au unywe weekend.
Au badilisha had upate bia unayoimudu.
Na kama Inakufanya uwe na hasira , vurugu, nyege za ajabu, kutumia hela hovyo, kupunguza kipato chako.
achana nayo. Haikufai.
Au badilisha Bia unazokunywa.
Maana Pombe ni starehe , na sio ifanye uongeze matatizo.