Nimekuwa mraibu wa bia @min-me nipe location

uko mkoa gani maana kati ya wenye ubalozi TBL tupo
 
vijana kunyweni beer kwa kuangalia manufacture date hakikisha inapita miezi kadhaa msinywe bia isiyoiva na kupoteza pesa yenu kunywa maji yaliyochacha.



anyway mkiishiwa tengenezeni zenu nyumbani jifunzeni na mna ya kutengeneza jkwa AMIRA na SUKARI au kutengeneza Kali kwa MCHELE au kuichoma kabisa kuwa kali zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…