1.Sawa haujaoa, una demu? Milioni ni kipato kizuri tu kibongo, sana tu. Una demu ili tujue pankuanzia kukushauri, sababu neno haupendi kushobokea watu linatuacha katika brackets.
2. Kazini kinachokuongoza ni majukumu yako, tabu iko wapi? Ukifanya kazi zako, muda wa kazi ukiisha unaondoka, kazi kama haijafanyika fresh unarekebisha, kukosea its normal kabisa.
3.Bodaboda ndio itabidi ushobokee sana abiria tena tofauti tofauti, utaulizwa we k*m* mpaka mbezi bei gani?😆. Madereva wengi wamepinda watakuzingua pia.
Utatakiwa kushobokea traffic na kuomba misamaha mfululizo "nisamehe afande,nimeteleza"atakujibu "ongea kiume we mseng* unalialia kama demu...tunafanyaje?
Mwishowe udhani anataka makalio yako wakati anataka pesa ya kiwi kwa mujibu wa Magu🙌🏾