Nimekuwa mtu nisiyejiamini na sipendi "kushobokea" watu. Nimeamua kufanya maamuzi haya

Kijana acha upumbavu watu wanatafuta kazi ww unakimbia kazi kwa ushenzi wa kichwani? Mambo ya kuonekana ni ya wavulana wasiojiamini, kuwa mwanaume fanya kazi acha kuwaza vile utaonekana, wekeza as much as u can. Make more money u will find peace later.
 
Usiache kazi.. Mungu akupiganie..pole sana
 
No no no usimshauri aache kazi kaka, umefanikiwa ww usifikiri na yeye atafanikiwa kisa Introvert, muhimu kujifunza kuwa chini ya mtu kwanza before build up his carrier or capital. Kusimamia biashara au project ikakua sio mchezo.
 
Huyu siyo introvert, introvert hatuogopi kukutana na watu wala huwa hatuna wasiwasi wa kufeli kisha tukaonekana hatufai..

Huyu ana Social Phobia, plus ma dalili mengine ya magonjwa ya akili... Cha kwanza kwa nini kama ana kazi hajaoa wala hana demu? Hapo ndo ujue kuna shida mahali.
 
Kuna kitu nitakwambia juu ya hilo la kusema hakuna dereva bodaboda mwenye uwezo wa kumiliki gari. Now nipo busy ila nitarudi mkuu.
 
NUNU BAJAJ IWEKE BARABARANI HUKU UKIENDELEA NA KAZI..!!
 
Mademu ninao
 
Dah
 
Hiyo kazi nipe mm ww ufanye bajaji ndakushuru sana
 
Mkuu usiache kazi pls

Kujiajiri ni rahisi kabla hujaanza ukishaanza ni kimbembe tafuta tu njia ya kueza likabili tatizo ila USIACHE KAZI
Kama a nasumbuliwa na mizimu aache kazi nafisi yake ichukuliwe na mwingine
 
No no no usimshauri aache kazi kaka, umefanikiwa ww usifikiri na yeye atafanikiwa kisa Introvert, muhimu kujifunza kuwa chini ya mtu kwanza before build up his carrier or capital. Kusimamia biashara au project ikakua sio mchezo.
Kufanya jambo ambalo huna furaha nalo ni sawasawa na kuwa Gerezani muache jamaa akaangalie upande mwingine wa maisha asiwe na uwoga wa kufeli
 
Nakushauri usiache kazi yako hata kama unajisikia mnyonge, mwenye aibu, usiyejiamini na mwoga. Wewe bado ni kijana mdogo na ni kawaida kwa rika hilo na tena kuna wengine wana miaka hata 40 bado wana changamoto hizo. Ni jinsi tu unavyojifikiri, na si wengine wanavyokufikiri wewe.

Una kazi nzuri na unapata mshahara mzuri, najua kwamba muda si mrefu utajutia kuacha kazi na itakuchukua muda mrefu sana kupata tena kazi! Mimi nilifanya kosa hilo na najuta mno kwani ni vibaya sana kufanya maamuzi kama hayo kwasababu nyepesi nyepesi kama hizo. Tafadhali endelea na kazi na utakomaa jinsi siku zinavyokwenda kwani ndivyo ulivyokuwa miaka 10 iliyopita?


 
Kuacha kazi ni maamuzi magumu, ndio maana waliozoea kungiziwa mshahara hawakubali uamuzi wako
 
Kuacha kazi sio vibaya kama umejipanga na utakachokwenda kufanya ili uweze kuishi
Unataka kuwa bodaboda 😀😀 hawa hawa unasindikiza mgeni apande mwendokasi wakiwaona wote wanawasha vyombo kuwakimbilia
 
V
Vijana wa Sinza waongowaongo tu uongo kwao ndiyo dili! Wewe unaingiza milioni moja kwa mwezi hii ni zaidi ya afisa anayekatwa kodi, leo eti unataka kuendesha bajaji! Hiyo bajaji unatuaminisha itakuingizia zaidi ya milioni moja? Heri yako mkora.
Sijui ametuonaje🤣🤣🤣
 
Katika ulimwengu wa kiroho una maumivu ya ndani unahitaji huduma ya uponyaji/deliverance ukipata hiyo huduma utakuwa sawa.
 
Huna lolote wewe hujiamini, muoga, una aibu, na labda una uwezo mdogo kazini... Ni hivi acha uoga mtoto wa kiume jiamini simama imara... Umekua mkubwa sasa 28yrs sio miaka midogo tena, ondoa utoto ktk maisha yako, ondoa fikra hasi... All in all nakutakia maisha mema ktk maamuz yako ya kufeli maisha kwa kuacha kazi na kununua bajaj ili uwe dereva bajaj... Sorry mwandiko wangu una maneno makali ila yatakufaa ukiyafuata
 
1.Sawa haujaoa, una demu? Milioni ni kipato kizuri tu kibongo, sana tu. Una demu ili tujue pankuanzia kukushauri, sababu neno haupendi kushobokea watu linatuacha katika brackets.
2. Kazini kinachokuongoza ni majukumu yako, tabu iko wapi? Ukifanya kazi zako, muda wa kazi ukiisha unaondoka, kazi kama haijafanyika fresh unarekebisha, kukosea its normal kabisa.
3.Bodaboda ndio itabidi ushobokee sana abiria tena tofauti tofauti, utaulizwa we k*m* mpaka mbezi bei gani?😆. Madereva wengi wamepinda watakuzingua pia.
Utatakiwa kushobokea traffic na kuomba misamaha mfululizo "nisamehe afande,nimeteleza"atakujibu "ongea kiume we mseng* unalialia kama demu...tunafanyaje?
Mwishowe udhani anataka makalio yako wakati anataka pesa ya kiwi kwa mujibu wa Magu🙌🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…