Nimekuwa mtu wa hasira hata kwa watu wangu wa karibu

Kuna watu mna raha sana alafu mnasema eti mnashida .

Yaani laki na thelathini imekutoa mchezoni kaka ? Nyege zinakusumbua kiasi hicho kweli ?

Embu tafuta kazi hata ya nguvu hiyo mia thelethini ni kugusa alafu nyege mfuate mkeo Asap acha kutudhalilisha wanaume wenzio

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kitendo cha kujua kuwa unakosea ni ishara ya kupata tiba
 
Jaribu jikite mazoezi Mkuu, hii inaweza kukusaidia...
 
HAKUNA KITU KINGINE NI NJAA TU.
 
Tatiz
Tatizo kubwa ni Uchumi, hakuna kingine. Ukimaliza madeni na kubaki na hela japo kidogo ya kujikimu utarudi katika hali yako ya kuwa sawa.
 
Tatizo siyo madeni ila tatizo ni mawazo tu,meng be normal uschukulie jambo serious..labda kama madeni kila mtu anadaiwa,maisha magufu c peke yako.
 
MATATIZO BY HARMONIZER
 
Umesema kodi ya nyumba 40.
Gani nyumba hiyo, hyo sio nyumba Bali ni stoo au chumba ambacho unalalaga huku unaona Mali zako zote kwa wakati mmoja.
Hizo hasira ni kwa sababu unalala na mtungi wa gesi pembeni
Mkuu,
Wewe na yule member KAKA YAKE SHETANI NI DUGU MOYA..😊😊
 
Well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…