Nimekuwa mtu wa kuumizwa, kutopewa thamani na kusalitiwa kwa wale wote niliowaamini na kuwapenda

puker

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
1,001
Reaction score
2,010
Habarini ndugu zangu. Niende Moja kwa Moja kwenye mada. Maisha ya mwanadamu ni mjumuisho wa vitu vingi sana, tunapambana Kila kukicha kuhakikisha tunakuwa Bora zaidi ya tulivyokuwa Jana.

Lakini kwa sasa kwangu hii imekuwa tofauti. Najua wengi tunapitia changamoto lakini tunapambana na kuzishinda.

Kwenye maisha yangu, nimekuwa nikipambana kama wafanyavyo wengine lakini changamoto ninazopitia kwa sasa hazihusiana kabisa na mali... Bali ni mahusiano kwa wanaonizunguka, nimekuwa mtu wa kuumizwa, kutopewa thamani na kusalitiwa kwa wale wote nilio waamini na kuwapenda.

Sina furaha Wala sioni tumaini, sioni umuhimu Tena wa Mimi kuwepo katika ulimwengu huu.

Maisha yangu mwenyewe yamekuwa ni maumivu tosha, nikiri wazi najichukia Mimi, historia yangu na Kila kitu kinachonizunguka, moyo wangu umekufa ganzi.. hauhisi chochote Tena.

Nimewahi kufikiria kujiua lakini naingiwa na hofu na uoga mkubwa sana, nakiogopa kifo.

Kitu ambacho naona kwangu ni nafuu na ninaweza kukifanya kikaniweka sawa katika hili.

Natamani kubadilisha Kila kitu kwenye maisha yangu, sio mali , nguo , ndugu marafiki na majamaa.

Yani kiufupi sihitaji kuwa na chochote kitakachonipa historia ya nyuma, hata Jina langu silihitaji Tena hata huu mwonekano wangu ubadilike natamani kwenda mbali sana Kila kitu kiwe kipya nianze upya nahisi Nitakuwa na Amani na nitapata nguvu ya kupambania furaha na ubora wangu Tena .

Sijui haya yote ni kwa namna Gani yanawezekana lakini natamani niache Kila kitu nitokomee mbali na nisionekane Tena kwenye Dunia yangu ya zamani.

Nawaombeni ushauri ndugu zangu nawezaje kulifanikisha hili.

Natangulisha shukrani🙏
 
Pole sana Mkuu.

Ila jitahidi uwe na utamadani wa kufanya ibada hasa majira ya saanane usiku kuelekea saatisa .

Utaanza kuona utofauti mkubwa.

Kabla ya kujenga mahusiano na watu jenga mahusiano na Mungu wako ambaye ndo chanzo cha uhai wako.

Na kisha muombe akuletee watu sahihi.

Kupitia night prayers hata akili yako itapata utulivu mkubwa na sio Kama ilivyo sasa hivi inapepesuka.

Pray , pray , pray 24/7.
 
Habarini ndugu zangu. Niende Moja kwa Moja kwenye mada. Maisha ya mwanadamu ni mjumuisho wa vitu vingi sana, tunapambana Kila kukicha kuhakikisha tunakuwa Bora zaidi ya tulivyokuwa Jana.

Lakini kwa sasa kwangu hii imekuwa tofauti. Najua wengi tunapitia changamoto lakini tunapambana na kuzishinda.

Kwenye maisha yangu, nimekuwa nikipambana kama wafanyavyo wengine lakini changamoto ninazopitia kwa sasa hazihusiana kabisa na mali... Bali ni mahusiano kwa wanaonizunguka, nimekuwa mtu wa kuumizwa, kutopewa thamani na kusalitiwa kwa wale wote nilio waamini na kuwapenda.

Sina furaha Wala sioni tumaini, sioni umuhimu Tena wa Mimi kuwepo katika ulimwengu huu.

Maisha yangu mwenyewe yamekuwa ni maumivu tosha, nikiri wazi najichukia Mimi, historia yangu na Kila kitu kinachonizunguka, moyo wangu umekufa ganzi.. hauhisi chochote Tena.

Nimewahi kufikiria kujiua lakini naingiwa na hofu na uoga mkubwa sana, nakiogopa kifo.

Kitu ambacho naona kwangu ni nafuu na ninaweza kukifanya kikaniweka sawa katika hili.

Natamani kubadilisha Kila kitu kwenye maisha yangu, sio mali , nguo , ndugu marafiki na majamaa.

Yani kiufupi sihitaji kuwa na chochote kitakachonipa historia ya nyuma, hata Jina langu silihitaji Tena hata huu mwonekano wangu ubadilike natamani kwenda mbali sana Kila kitu kiwe kipya nianze upya nahisi Nitakuwa na Amani na nitapata nguvu ya kupambania furaha na ubora wangu Tena .

Sijui haya yote ni kwa namna Gani yanawezekana lakini natamani niache Kila kitu nitokomee mbali na nisionekane Tena kwenye Dunia yangu ya zamani.

Nawaombeni ushauri ndugu zangu nawezaje kulifanikisha hili.

Natangulisha shukrani🙏
Pole sana kwenye kipindi hichi unachopitia, kikubwa hama hilo eneo kama inawezekana anza maisha mapya na kufuta kumbukumbu ya matukio na watu walikusababisha maumivu hao. Lakini Kubwa Muombe Mungu sana bila kuchoka atakujipu maombi yako!
 
Hisia zako ni common sana kwa watu wengi, ni kama vile roho inaoza ikibaki katika mazingira uliyonayo Sasa; kama una mwanamke basi pasua kichwa unatamani umkimbie, wazazi nyumbani unaona kama vile kwenye mategemeo Yao umefeli, ndugu ukiangalia unaona unafiki mwingi, marafiki unaona kama vile wapo na wewe kwasababu unashika vijisenti na wanaburudika ukiwa around, we mwenyewe ukijiangalia kwenye kioo unaanza kujichukia......... It's common
A lot of people would like to disengage with their lives, mie binafsi ningepata mtu wa kuniajiri akaniambia kituo cha kazi ni huko Mtwara basi ningeenda maana inakuwa kama opportunity ya kuanza upya
 
Pole mkuu, haina haja ya kubadilisha jina au muonekano..badilisha mazingira tu! Tanzania kubwa hii kama uko dar nenda mkoa wa mbali labda mwanza au kigoma whatever badilsha upepo! Naongea kwa experience ya ku stuck mkoa mmoja niliozaliwa sasa zaidi ya mitatu napuyanga kucheki fursa na sikomi ningekua sina majukumu ningetimkia ata ulaya.
 
puker hizi hali si wewe pekeyako unapitia.. Kila mmoja katika hatua ya makuzi, utu uzima ama uzeeni hupitia changamoto zinazofanana na zako ama nginginezo.. Tunachotofautiana ni nyakati, vipindi na uzito
Umefika mahali pa kujikataa na kukata tamaa .. Hii ni mbaya sana.. Kamwe usipoteze tumaini kwakuwa hakuna gumu lisilo na mwisho..
Kuna miaka na vipindi vigumu sana tunapitia kwenye maisha.. Ambao hawakuwa imara walijidhuru kwa vilevi nk na wengine walijimaliza

Katika nyakati hizi mshike sana Mungu wako kwa imani yako.. Sali sana fanya sana ibada.. Kuna nguvu kubwa kwenye sala na ibada.. Muombe sana Mungu akuvushe salaam lakini kubwa kuliko yote muombe akupe mwisho mwema!
Una nafasi ya kuingia JF na kuandika. Una simu una bundle una mikono.. Kuna wengine hawana vyote hivyo
Maisha ni fumbo gumu na majibu yake yako kwenye utulivu na ukimya na sala
Don't give up buddy.. For in the darkest hour of life there is always a twinkle of light to lead you through...

Nakuombea....!!!
 
Thanks bro🙏
 
Hisia zako ni common sana kwa watu wengi, ni kama vile roho inaoza ikibaki katika mazingira uliyonayo Sasa; kama una mwanamke basi pasua kichwa unatamani umkimbie, wazazi nyumbani unaona kama vile kwenye mategemeo Yao umefeli, ndugu ukiangalia unaona unafiki mwingi, marafiki unaona kama vile wapo na wewe kwasababu unashika vijisenti na wanaburudika ukiwa around, we mwenyewe ukijiangalia kwenye kioo unaanza kujichukia......... It's common
A lot of people would like to disengage with their lives, mie binafsi ningepata mtu wa kuniajiri akaniambia kituo cha kazi ni huko Mtwara basi ningeenda maana inakuwa kama opportunity ya kuanza upya
Ahsante sana mkuu wa ushauri🙏
 
Habarini ndugu zangu. Niende Moja kwa Moja kwenye mada. Maisha ya mwanadamu ni mjumuisho wa vitu vingi sana, tunapambana Kila kukicha kuhakikisha tunakuwa Bora zaidi ya tulivyokuwa Jana.

Lakini kwa sasa kwangu hii imekuwa tofauti. Najua wengi tunapitia changamoto lakini tunapambana na kuzishinda.

Kwenye maisha yangu, nimekuwa nikipambana kama wafanyavyo wengine lakini changamoto ninazopitia kwa sasa hazihusiana kabisa na mali... Bali ni mahusiano kwa wanaonizunguka, nimekuwa mtu wa kuumizwa, kutopewa thamani na kusalitiwa kwa wale wote nilio waamini na kuwapenda.

Sina furaha Wala sioni tumaini, sioni umuhimu Tena wa Mimi kuwepo katika ulimwengu huu.

Maisha yangu mwenyewe yamekuwa ni maumivu tosha, nikiri wazi najichukia Mimi, historia yangu na Kila kitu kinachonizunguka, moyo wangu umekufa ganzi.. hauhisi chochote Tena.

Nimewahi kufikiria kujiua lakini naingiwa na hofu na uoga mkubwa sana, nakiogopa kifo.

Kitu ambacho naona kwangu ni nafuu na ninaweza kukifanya kikaniweka sawa katika hili.

Natamani kubadilisha Kila kitu kwenye maisha yangu, sio mali , nguo , ndugu marafiki na majamaa.

Yani kiufupi sihitaji kuwa na chochote kitakachonipa historia ya nyuma, hata Jina langu silihitaji Tena hata huu mwonekano wangu ubadilike natamani kwenda mbali sana Kila kitu kiwe kipya nianze upya nahisi Nitakuwa na Amani na nitapata nguvu ya kupambania furaha na ubora wangu Tena .

Sijui haya yote ni kwa namna Gani yanawezekana lakini natamani niache Kila kitu nitokomee mbali na nisionekane Tena kwenye Dunia yangu ya zamani.

Nawaombeni ushauri ndugu zangu nawezaje kulifanikisha hili.

Natangulisha shukrani🙏
Njoo kwangu nikupende hadi ushangaeee,
 
Unaishi mkoa gani?
 
Mimi nilikuwa mhanga kama wewe!! Nilichofanya ni kuhama. Nilikuwa naishi Moro mjini maeneo ya kigurunyembe. Nilichofanya ni kuhama na kuvunja lain zote na kubadirisha jina, na kuanza maisha mapya, Sasa nipo Tabora na Nina furaha! na nimepata mali za kutosha tu!! Usijidhuru, ila hama hapo ulipo ili uanze upya!! kuhama huwa ni namna ya uponyaji pia!! Huoni hata wacheza mpira akiona amebanwa anahama position. Usifikilie kujiua! Ila hama.
 
Back
Top Bottom