Nimekuwa na hofu na simanzi juu ya hatma ya kimahusiano ya binti yangu

Nimekuwa na hofu na simanzi juu ya hatma ya kimahusiano ya binti yangu

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Huwa namuonea huruma tu nikiwaza kama atakutana na nani, nani atakua mume wake, je? Atakutana na fedhuli au atapata noble and wise man.

Tatizo ni hivi, siku za karibuni kwenye mtandao fulani wa kijamii nimekua nikikutana maudhui ya ngono. Kusema ukweli niliingia baadhi ya account, video zite zilikua za watanzania maana wanazungumza kiswahili, hivyo.

Kitu kilichonitisha ni kua, video zote hizo, ni mapenzi kinyume na maumbile. Hili limenifikirisha sana nikiwaza, je mwanangu wa kike atapata mume wa aina gani? Hali itakuaje siku za mbeleni?

Natamani siku akifika 18 nimwambie kua akijafanya hicho namuachia laana, ili awe mkali endapo atakutana na fedhuli, nawaza sana na namuonea sana huruma.

May God protect her and all beautiful young lady from that misery.
 
Huwa namuonea huruma tu nikiwaza kama atakutana na nani, nani atakua mume wake, je? atakutana na fedhuli au atapata noble and wise man.

Tatizo ni hivi,
Siku za karibuni kwenye mtandao fulani wa kijamii nimekua nikikutana maudhui ya ngoni. Kusema ukweli niliingia baadhi ya account, video zite zilikua za watanzania maana wanazungumza kiswahili, hivyo.

Kitu kilichonitisha ni kua, video zote hizo, ni mapenzi kinyume na maumbile.
Hili limenifikirisha sana nikiwaza, je mwanangu wa kike atapata mume wa aina gani? Hali itakuaje siku za mbeleni?

Natamani siku akifika 18 nimwambie kua akijafanya hicho namuachia laana, ili awe mkali endapo atakutana na fedhuli, nawaza sana na namuonea sana huruma

May God protect her and all beautiful young lady from that misery.
Why all that?
 
Je, wewe ni mwanaume ambaye ungependa binti yako ampate aliye kama wewe? Uliwatendea/unawatendea wanawake mema?
 
Usimpe laana, kwa sababu shetani ana nguvu mno. Anang'ang'ania hapo hapo palipowekwa laana.

Ngono kinyume na umbile kwa wanawake wa sasa na wajao ni ngumu mno kuepuka.

Shetani amewakamata sana na kuwaaminisha kuwa ni patamu mno kuliko mbele.

Kama wewe ni muumini wa Mungu basi muombee tu.
 
Hii dunia ya sasa inatisha Sana
Kwa wowote wetu Wanao kua Kwa sasa
Sio Kwa kiume wala WA kike yani
Mambo yamebadilika Sana

Yaaani hiz smartphone wazungu wametuletea ndo zmeharbu Mambo yote kwakweli

Fikiria kitoto cha 2000 Kwa sasa kinadeao
Na mpenz ya kinyume na maumbile me/ke

Na hawa watoto waskuhz wanabalehe
Wakiwa na 15yrs Acha Tu usiseme
 
You suffer more in your imagination than reality!
Mwisho wa siku uanze kutaka kutoka na binti yako mwenyewe😅😅, Relax pops ni sahihi kuwa concerned lakini deal na unavyoweza kucontrol.
 
Me mwenyewe huwa nakiwazia hivyo hivyo kibinti changu kirembo kizuri kwa mwonekano ndo kwanza kinamaliza Std 7.
Eewe! Mungu tusaidie na utusamehe ufuska tuliowafanyia mabinti wa wenzetu ujanani hatukujua tulitendalo.

kwa Jina la Yesu, Amen🙏🙏
 
Kikubwa ni kumuombea dua njema kila kukicha kwa imani yako pia ukiwa kama mzazi kumuongoza na kumlea katika misingi iliyo sahihi bila kusahau kumuasa na kumueleza namna dunia ilipofikia.

Baada ya hapo kazi inabakia kwake sasa sababu mzazi umeshacheza kwenye nafasi yako.
 
Back
Top Bottom