Nimekuwa na hofu na simanzi juu ya hatma ya kimahusiano ya binti yangu

Amin. Mungu amsimamie kwa kweli
 
Malipo ni hapahapa..
 
Ulivyokua una treat Binti za watu na wako ataoata the same treatments. Kama ulikua unakula ndogo, umekwisha
 
Hiyo iko kwenye utashi wake yeye hata ufanyeje huna cha kufanya eti unamlaani umeambiwa atakuita ushuhudie atayofanya na wakwe zako? Nyie ndo mnaamuaga kulala na binti zenu kwa kudhani hakuna mwanaume sahihi kwake,

Wengine tuliachwa na baba zetu bado makinda lakini mpaka leo hatujawahi kufanya huo upuuzi na si kwamba mafedhuli hawapo wamejaa tele
 
Kuna vitu vingine sio vya kufikiria kabisa as long ni wa kike basi atachezea mic ataliwa bila ya kujali mbele au nyuma kitu pekee Cha kupambana nacho ni kumtengenezea Financial Freedom aweze kuishi maisha standard ya chumbani muachie yeye mwenyewe
 
Hiyu si ndo yule mke wa mtu?
 
Malezi yamekua changamoto kubwa sana kwa kipindi hiki, kikubwa jitahidi kumpa mahitaji yake kwa wakati bila kusahau luxuries ndogo ndogo ambazo uwezo unaruhusu kama laptop, simu n.k.. ustahimilivu wa njaa na tamaa ni mdogo sana kwa mtoto wa kike ukilinganisha na mtoto wa kiume.
 
Kulea ni kazi haswa pale unapojua huwezi amua hatma ya wanao...

Unachopaswa ni kumlea kwenye njia ipasayo...
Kuna quote moja huwa naipenda sana katika Movie ya Blacklist, Fbi Dorector Harold Cooper akimwambia Raymond Reddington kuhsu mtoto wa Elizabath Keen "no matter how much we would love to protect our kids, sometime they just grow to be what they want to be"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…