Nimekuwa na hofu na simanzi juu ya hatma ya kimahusiano ya binti yangu

Mpende mama yake sana, mno kwa vitendo na maneno aone, wewe ndio unaweka msingi wa upendo unafanana vipi. Aone wanaume wengine takataka akiona jinsi baba yake anavyopendana na mama yake. Atake mwanaume mwenye vigezo vyako au zaidi.
Tunawapenda sana baba zetu, hatupendi kuangusha matarajio yao juu yetu
 
Ni wapi huko ulikoona mkuu, hebu tuone kama usemayo ni kweli..
 
Tena kwa kizazi cha saivi watoto wa 2000 kuja juu kizazi cha iphone macho 3 nitakataka cha msingi nikuomba Mungu tu na mwanao awe mtu wakuridhika bc
 

Yeah, lakini hofu ya jamaa hapa ni juu ya mabazazi ambao ushawishi wao ni zaidi ya elimu ya makuzi...

Binti ana malezi mazuri lakini anaweza kutana na wabakaji...
 
Mungu yupo, anawalinda hata kama kuna changamoto, mlee vizuri ili apende mambo ya Mungu, huo ndio usalama wake
 
18 is too late tena umechelewa sana,akivunja ungo tu anza mfundisha maana wasichana cku hizi 13-15 wanavunja teach her life ya mahusiano utamsaidia sana.
Kingine angalia mazingira unayoishi km umepanga kuna maeneo sisalama kwa mtoto wa kike or malezi kwa ujimla.
 
We acha tu wengine sisi makaka tuna wadogo zetu na wajomba zetu mpaka unahisi aibu kwa hivi vitoto
 
Kama ukiweza kumfanya mwanao asiwe na tamaa mbaya basi mtihani umeufaulu ila kama hapo ukishindwa acha kupoteza muda kuwaz hayo
 
Sijui nikopy hii
Ni mimi huyu my current situation
 
Yeah, lakini hofu ya jamaa hapa ni juu ya mabazazi ambao ushawishi wao ni zaidi ya elimu ya makuzi...

Binti ana malezi mazuri lakini anaweza kutana na wabakaji...
It does not matter, kuna vitu huna controll over them so no need to stress yourself much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…