Mnaoshaur amwambir mkewe kuna wengine sisi magaid nachepuka na mke anajua na cha kufanya hana
Mm mchepuko alienda kumfata wife akamwambia akitegemea tutaachana wife akamjibu " kakae utulie najua unatembea na mme wangu na akijua umenambia wewe atakupiga akuue [emoji23] katulie kabisa binti sitak matatizo"
Huyu dem baada ya kumuoa mke wa pili ndo akanambia
Sasa wewe unavyotaka kimbwaga baada ya yote aliyokifanyia ndio fair?!!
Tafuta namba ya mke wake kajisemee
Mkuu HesabuKali ulichokizungumza ni sahihi kabisa , huyu mtoa mada amejawa na tamaa kupita kiasi haiwezekani mtu amekuhudumia kwa miaka mitatu eti leo ndo uje kuomba ushauri tena kirahisi tu wakati ameshakula vitu vya mwanaume na kapewa nyumba, gari, kazi nk....Cha msingi azingatie Jasho la mtu haliliwi bure! ALWAYS THERE IS A PRICE TO PAY![emoji23][emoji23]Ushauri gani unataka wakati bado tamaa zimekujaa mpaka kwenye kope za macho? Rudisha nyumba yake, rudisha kodi zake na kila ulichopewa kwa makubaliano kuwa muwe wapenzi halafu muambie huyo kijana mwenzako akupe unavyopenda au mbaki na shida zenu ndio mfurahie hayo mapenzi yenu na kijana mwenzako.
Kingine chunguza sana huyo kijana huenda kakupenda kwa kuwa una gari, kazi nzuri na nyumba ulivyopewa na mume mwenzake.
Mwisho kabisa cha mtu hakiliwi bure.
Well then, just face the reality that u stuck with him.Its not either.
Huyu atakankulifukuliwa mtaro tuu🤣🤣🤣🤣Mkuu HesabuKali ulichokizungumza ni sahihi kabisa , huyu mtoa mada amejawa na tamaa kupita kiasi haiwezekani mtu amekuhudumia kwa miaka mitatu eti leo ndo uje kuomba ushauri tena kirahisi tu wakati ameshakula vitu vya mwanaume na kapewa nyumba, gari, kazi nk....Cha msingi azingatie Jasho la mtu haliliwi bure! ALWAYS THERE IS A PRICE TO PAY![emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N950U1 using JamiiForums mobile app
Sahii kabisa[emoji4]Kuwa mke wa pili tena wakati ndilo ninalotaka kulikimbia? Kuhusu kuolewa alishaniambia hicho ninachokwenda kukitafuta huko ambacho sikipati kwake ni nini?
Uwezo wa kuvirudisha na kusimama mwnyw unao?Yaani ningekuwa na uhakika kuwa nikivirudusha basi tutaachana kwa amani ningevirudisha tangu jana. Ila kuna kauli zake tata amekuwa akiziongea tangu nilipoanza kumwambia wazazi wanataka niolewe ndizo zinanipa wasiwasi.
Kuzaa na mume wa mtu tena? Dhambi ya kutembea nae tu inatosha.
Mali zake na kazi niko tayari kumuachia maana i can manage without him. Tatizo nawaza hatokuwa na kinyongo au hata kunidhuru maana ana wivu balaa. Halafu mpenzi wangu sio serengeti boy ananizidi umri, elimu hadi mali. Kiufupi yuko vizuri na anayamudu maisha vizuri tu.
Nikiweka nyuzi zangu wengi wanazisoma Kama story TU.Yani mtu hajifunzi kutokana na story zote zilizopo kila sehem..
Mkuu chakata mpaka watakapojielewa..
Unautoto Sana wee dada,Ndo siyataki mambo kama hayo.
Sahii kabisa,Mnaoshaur amwambir mkewe kuna wengine sisi magaid nachepuka na mke anajua na cha kufanya hana
Mm mchepuko alienda kumfata wife akamwambia akitegemea tutaachana wife akamjibu " kakae utulie najua unatembea na mme wangu na akijua umenambia wewe atakupiga akuue [emoji23] katulie kabisa binti sitak matatizo"
Huyu dem baada ya kumuoa mke wa pili ndo akanambia
Hapana amechoka kuwa mtumwa na anahitaji kuwa huru na mtu atakayelala na kuamka naye. So Ms Saaly sell the house Tena hakikisha kuanzia dalali mpaka mnunuzi wawe ni wageni maeneo hayo wasije vujisha kwa Mzee baba ukalambwa Shaba. The day umepata malipo ndipo acha kazi Ile ya masaa 24.Ah wapi atatafutwa tuu. She is caught between a rock and hard place. Hapo nikukubali kuwa mtumwa tuu wa huyo mume wa mtu au kama vipi tumsaidie kupata mganga huyo mume mtu awe zezeta
Sahii kabisa,100% nakuapi huyo mpenz wako mpya hata kama unasema anakuzidi umri na ana kipato ukirudisha nyumba /gari na kazi aliyokutafutia uiache huyo mpenz mpya hamtadumu miez zaid ya miwili niamin utarud hapa kutoa ushahid
Kumbe jamaa unajipigia pasi hapa hapa...shauri yako utakula mbususu ya saaly alafu mwenyewe aje kukuzibua chemba🤣🤣🤣🤣.Hapana amechoka kuwa mtumwa na anahitaji kuwa huru na mtu atakayelala na kuamka naye. So Ms Saaly sell the house Tena hakikisha kuanzia dalali mpaka mnunuzi wawe ni wageni maeneo hayo wasije vujisha kwa Mzee baba ukalambwa Shaba. The day umepata malipo ndipo acha kazi Ile ya masaa 24.
On the same day or the day after, get away leaving everything else behind including your dear friends, I mean everything; car, contacts, some personal belongings. Tanzania ni kubwa hii na Africa ni Moja. If you will pocket 20m it's enough to start afresh somewhere else in Tz or EAC.
Wapenzi kuuana ni real, take care.
Ukishauza niambie nikufiche!!