- Thread starter
- #221
Mnaoshaur amwambir mkewe kuna wengine sisi magaid nachepuka na mke anajua na cha kufanya hana
Mm mchepuko alienda kumfata wife akamwambia akitegemea tutaachana wife akamjibu " kakae utulie najua unatembea na mme wangu na akijua umenambia wewe atakupiga akuue [emoji23] katulie kabisa binti sitak matatizo"
Huyu dem baada ya kumuoa mke wa pili ndo akanambia
Mimi sioni kama ni ustaarabu ushenzi wetu tuliokubaliana wenyewe wawili eti kwasababu natafuta a way out basi nikamuhusishe mama wa watu ambae hausiki na huu ushenzi wetu.