Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Kwanza acha kumtegemea angalau mwaka mzima ndio utaweza kujinasua
 
Haya masharti ya Ki-frimasoni,hahahahaaaaa
 
Waambie wazazi kwamba ni mume wa mtu haukujua (utakuwa umesolve issue ya upande wa wazazi) mwambie jamaa wazazi umewaambia ni mume wa mtu wamekuja juu..., unless otherwise mpo tayari (wewe, yeye na mke wake) na imani inaruhusu kuwa mke mwenza... hakuna zaidi ya hapo

Ila ndio hivyo ukilikoroga inabidi ulinywe....,
 

Hili wazo kama linasound hivi, ngoja nilichukue pia.
Asante nitatubu.
 
Hapana, sijipigii pasi. Ni utani tu, anaweza kwenda popote na inaonesha ni mzoefu wa kusafiri. Kama anaishi Arusha akienda kujificha Mtwara au Songea au hata Mbeya ataishi kwa amani. Siwezi kumshauri Kubaki sehemu ambayo haridhiki.
 
Mwambie wazazi wako wamekutafutia mchumba na unataka uolewe wamekushinikiza...

Ikiwa vipi hizo mali mlizowekeza mnaweza mkagawana nae ili aende salama na wewe uende kivyako..., usipoangalia utakosa vyote...

Fanya haya jana na sio kesho..
Huu unaweza kufanya kazi,tena awe analia yale machozi yao ya kujitilisha huruma na awe anamuonesha kwamba yupo katika hali ya kukanganyikiwa.
 
Hili wazo kama linasound hivi, ngoja nilichukue pia.
Asante nitatubu.
Mimi nakuambia, utapata maushauri mengi hapa, ila ushauri ambao hautakudhuru ni huu, maana yatayeye atakuona mzembe na ataona kama vile yeye ndo kakuacha, pia na mali zake ataona hauko nazo umezipoteza, kumbe akili nyingi.

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
 

Uwezo ninao wa kumrudishia gari, nyumba na kazi na hata pesa ila isizidi milioni 20. Hivyo vingine narudishaje kama vile hakuna ambacho nami napoteza? Kwahiyo kwa muda nilokuwa nae mimi peke yangu ndio nilifaidi?
 
Basi kama na huyu wa huyu yupo kama wewe,hapo utata!
 
moja ya ushauri mbovu toka nijiunge Jf
 
100% nakuapi huyo mpenz wako mpya hata kama unasema anakuzidi umri na ana kipato ukirudisha nyumba /gari na kazi aliyokutafutia uiache huyo mpenz mpya hamtadumu miez zaid ya miwili niamin utarud hapa kutoa ushahid

Huyu mpenzi mpya wala hajui kama nina nyumba iliyo kwa jina langu. Anajua nimepanga tu. Tena aliwahi kunishauri kupanga sehemu ya bei ndogo maana naishi mwenyewe ili hizo pesa niwekeze sehemu nyingine. Hajui kama hata kodi yenyewe silipi mimi. Gari nilimwambia ni la wazazi. Yaani namdanganya hadi najistukia. Naumia mnoo kuanzisha nae mahusiano kwenye misingi ya uongo.
 
Naandiks kwa herufi kubwa DADA SIKU ZA MWANaDAMU KUISHI NI CHACHE TUBU MAANA UNAKARIBIA KUFA
Ujue mtu akiwa anakaribia kufa anawqshwa washwa kama wewe sahiz [emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona unanitisha sasa?
 
Unautoto Sana wee dada,
huenda penzi jipya limekupofusha mpk huoni kabisa


Yaani nyumba anayolipia Kodi yeye na kila kitu kagharamia yeye useme eti hutaki aje anavyojiska.[emoji44]

Hivi are u out of your mind my sister?[emoji848]

Hata kama, mie sio mkewe. Anapaswa kutoa taarifa anapokuja.
 
Au ndo ile kusema "Wanaume wachache"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…