Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya masharti ya Ki-frimasoni,hahahahaaaaaUsalama wako na uhuru wako utarejea ...baada ya kurudisha gari, nyumba ...na kuhama hapo anapokulipia kodi na hata ikiwezekana kuacha hiyo kazi aliyokutafutia
Hii atleast itampa ahueni jamaa .....hawez kubali akuruhusu uolewe na boya mwingine huku ukiwa una mali zake.....hilo halipo.....
Tamaa zinawapofushaga kwa muda mkija kuzoea yale maisha ya status ...ndipo akili zinawarud na kujikuta eti mliteleza sasa mnataka mrudi njia sahihi na kutafuta mtu sahihi .hapo tayar mshakula vya watu ...km kweli unania ya kuanza upya ....rudisha kila kitu .....
No short cut ,kama huwezi bhac kubali kuwa mtumwa for rest of his life
Waambie wazazi kwamba ni mume wa mtu haukujua (utakuwa umesolve issue ya upande wa wazazi) mwambie jamaa wazazi umewaambia ni mume wa mtu wamekuja juu..., unless otherwise mpo tayari (wewe, yeye na mke wake) na imani inaruhusu kuwa mke mwenza... hakuna zaidi ya hapoBahati mbaya sana wazazi wanamfahamu kama mtu wangu. Kuna kipindi wazazi wangu walipatwa na changamoto kubwa tu na alitumia pesa nyingi tu kuitatua. Mama huwa ananiuliza tu tuna mpango wa kuoana lini najikanyaga tu naona aibu kumwambia ni mume wa mtu maana sijui atanifanya nini haki ya Mungu.
Hatari hatariKinachonisikitisha zaidi,
Hii I'd ni ngeni Sana humu [emoji848]
Kuna kitu hakiko sawa mahali,
Hebu Ngoja nikanywe maji kwanza[emoji34]
View attachment 2122288
Ni watu sema inabidi wakutane na wanaume wenye akili za kutosha.Wewe utakufa mapema Sana sio utani ila huu n ukwel kifo unakitafuta wewe mwenyewe na jamaa hata Mungu hatompa lawama kabisa
,,,,,Jitafakari Sana ,,,
Wanawake sio watu kabisa jaman
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Shida ni kwamba at instant alivyopewa havionekani ila alivyotoa yeye mwanaume vinaonekana.Na yeye mwanaume atarudisha alivyopewa?
Mars siyo miongoni mwa popote?.HahahahaaaaaNenda mars tu
Thats the only way out coz popote utakapoenda jamaa lazima akusake na akikupata you're dead
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu acheni hayo mambo bwana, nae bidada arudishiwe vyake na muda wake alioupoteza kwa jamaa basi.Watu akikupa kisimu cha tochi tu anakidai.
Ije iwe hivyo???
Gari na nyumba kachukulie mkopo bank,hela kaweke bank, Usilipe ili vipigwe mnada jamaa akishuhudia, atakasirika na kukuambia hufai, basi haponaachana unaenda sasa kuanza maisha mapya na hela iliyoko bank.
NB:Umuombe Mungu msamaha kwa madhambi yako.
Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
Sahii kabisa[emoji4]
Hapana, sijipigii pasi. Ni utani tu, anaweza kwenda popote na inaonesha ni mzoefu wa kusafiri. Kama anaishi Arusha akienda kujificha Mtwara au Songea au hata Mbeya ataishi kwa amani. Siwezi kumshauri Kubaki sehemu ambayo haridhiki.Kumbe jamaa unajipigia pasi hapa hapa...shauri yako utakula mbususu ya saaly alafu mwenyewe aje kukuzibua chemba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Yeye atulizane na huyo mwanaume amzalie aapate life alilotaka. Maisha mazuri wao wenyewe sii wanasema its better to cry in a range rover than on a bicycle...
Huu unaweza kufanya kazi,tena awe analia yale machozi yao ya kujitilisha huruma na awe anamuonesha kwamba yupo katika hali ya kukanganyikiwa.Mwambie wazazi wako wamekutafutia mchumba na unataka uolewe wamekushinikiza...
Ikiwa vipi hizo mali mlizowekeza mnaweza mkagawana nae ili aende salama na wewe uende kivyako..., usipoangalia utakosa vyote...
Fanya haya jana na sio kesho..
Mimi nakuambia, utapata maushauri mengi hapa, ila ushauri ambao hautakudhuru ni huu, maana yatayeye atakuona mzembe na ataona kama vile yeye ndo kakuacha, pia na mali zake ataona hauko nazo umezipoteza, kumbe akili nyingi.Hili wazo kama linasound hivi, ngoja nilichukue pia.
Asante nitatubu.
Uwezo wa kuvirudisha na kusimama mwnyw unao?
Maana ake Apo itabid urudishe kuanzia Ito kazi, Kodi alizokulipia, posho zote alizokupa, Gari,nyumba na gharama zote alizotoa kwako.
Kwa HARAKA HARAKA Happ sio chini ya mil.100
Vipi uwezo upo?
Au Ongea na uyo barobaro wako uwezo anao?
Ili mchangie hizo cost uondokane na icho kifungo dada [emoji4]
Basi kama na huyu wa huyu yupo kama wewe,hapo utata!Mimi pia na mke mdogo( enzi alikuwa mchepuko akisoma chuo nikampangia na kumpa gari na biashara alipomaliza chuo nikamjengea then et anataka aniache nilimfata mamake nikamwambia nitawaua ukoo mzima)
Wakat natoa hela mtoto anasoma na kuishi vzr dar why hawakumzuia sahiz ndo wanawaza aolewe? Never
Ilibid waongee nae vzr akakubali nikamuoa mke wa pili ndo kesi ikaisha
moja ya ushauri mbovu toka nijiunge JfHapana amechoka kuwa mtumwa na anahitaji kuwa huru na mtu atakayelala na kuamka naye. So Ms Saaly sell the house Tena hakikisha kuanzia dalali mpaka mnunuzi wawe ni wageni maeneo hayo wasije vujisha kwa Mzee baba ukalambwa Shaba. The day umepata malipo ndipo acha kazi Ile ya masaa 24.
On the same day or the day after, get away leaving everything else behind including your dear friends, I mean everything; car, contacts, some personal belongings. Tanzania ni kubwa hii na Africa ni Moja. If you will pocket 20m it's enough to start afresh somewhere else in Tz or EAC.
Wapenzi kuuana ni real, take care.
Ukishauza niambie nikufiche!!
100% nakuapi huyo mpenz wako mpya hata kama unasema anakuzidi umri na ana kipato ukirudisha nyumba /gari na kazi aliyokutafutia uiache huyo mpenz mpya hamtadumu miez zaid ya miwili niamin utarud hapa kutoa ushahid
Naandiks kwa herufi kubwa DADA SIKU ZA MWANaDAMU KUISHI NI CHACHE TUBU MAANA UNAKARIBIA KUFA
Ujue mtu akiwa anakaribia kufa anawqshwa washwa kama wewe sahiz [emoji23][emoji23][emoji23]
Unautoto Sana wee dada,
huenda penzi jipya limekupofusha mpk huoni kabisa
Yaani nyumba anayolipia Kodi yeye na kila kitu kagharamia yeye useme eti hutaki aje anavyojiska.[emoji44]
Hivi are u out of your mind my sister?[emoji848]
Au ndo ile kusema "Wanaume wachache"Rudisha mali zake ili uwe na maisha ya amani.. vitu hutafutwa ila uhai once ukiondoka haurudi tena...
Hama alipokupangishia ikiwezekana tafuta kazi sehem nyingine maana bila hivyo ataendelea kukutafuta.. piga block kila sehem.. hayo ni madhara ya kudate mume wa mtu .. pole sana kwa hali hiyo ya kujitakia.. unahitaji nawe uwe na familia lakini uliendekeza kudanga kwako kwa kumtegemea kila kitu..
Hivi dada unajiskiaje kudate na mtu ambae akitoka kwako anaenda kulala na mwanamke mwingine? Mnawezaje jaman.. I don't judge you by the way
'Mwanaume ukimfanya danga lako nae atakufanya malaya wake..'
Cc: DeepPond