Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Yaani Jiwe Alisema Bwana Bure Hayupo
Thamani Ya Uwekezaji Ni Millions Tele
Yaani Aende Akalale Na Huyo Jamaa Nyumba Na Gari La Jasho La Watu


Ajue Akimuacha Lazima Kazi, Gari, Nyumba Hatakuwa Navyo
Akiweza Aje Atujibu
 
Pole kwa unayopitia lkn yote ni kwa sababu ya ufuska na upumbavu wako ulosababishwa na kupenda vitonga.

Kipindi unaanza naye mahusiano haukufikiria hiki unachokifikiria kwa sasa??.

Endelea kupigwa mando.
 
Lete Maneno Tuone Kama Ingekuwa Mleta Mada Ndiyo Dume Ungekubali
Gari Ina Thamani Ya Millions Ngapi?
Nyumba Thamani Yake
Umetafutiwa Kazi
Unawekewa Gari Mafuta

MAGAZIJUTO,


JK Alisema!! Oops Mlisema Sichomoi Kwani Nilichomeka Wapi?
Yaani Jiwe Alisema Bwana Bure Hayupo
Thamani Ya Uwekezaji Ni Millions Tele
Yaani Aende Akalale Na Huyo Jamaa Nyumba Na Gari La Jasho La Watu


Ajue Akimuacha Lazima Kazi, Gari, Nyumba Hatakuwa Navyo
Akiweza Aje Atujibu

Amekununulia Push To Start

Nyumba Choo Ndani

Kazi Unakunja Cash

Haa Ukweli Rashid Mfaume Kawawa Ndiyo Pekee Alikuwa Na Maamuzi Magumu
Noted
Unapokea Mlahaba

Naona huu uzi umeuvalia njuga
 
Ladies and gentlemen this is why women get killed
 
Afu mambo haya ya mapenz yamekaa kinoko kweli yaan,,watu wanapoanza kupeana mahaba ni full raha zao yakianza kuwashinda ndo uanza kushirikisha,aisee
Bwana wee yaani wakati anapewa mkoko na nyumba hajatuita tumshauri sasa ameshakula hela za mume wa mtu ndio anajidai nina kamjamaa nadate nako ndio mapenzi ninayotaka🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbona unayakimbia maisha uliyoyachagua mamkubwa [emoji849].

There is a price to pay to make the changes you want in life.
There is also a price you're already paying for staying the way you are

You have to weight these two prices and decide what to do based on that comparison and no one can do that for you. [emoji847]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…