Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Kabisa ndo maana anataka kuzaa nae sbb uhakika wa watt wake kuishi vzrHta akirudisha bado jamaa atafanya maamuzi magumu.Kwa kiwango cha uwekezaji ina maana jamaa anampenda na ana mpango nae so whatever she does will not end easily.
😁😁😁Huwa unimaliza sana😆
[emoji87][emoji848]Kwetu tayari wanamfahamu ila hawajui kama ni mume wa mtu.
Mlongo hii ngumu kumesaRudisha vitu vyake alivyokupa, afu muachane uone atafanya nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waache wote wawiliTabia zipi? Sina tabia za ajabu japo pia sipo perfect kama binadamu wengine tu. Na ndio mara ya kwanza nimeanzisha mahusiano nje ya haya tulokuwa nayo. Na naona kabisa siwezi kumudu kuwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja. Soon nitakamatwa tu, kwahiyo kabla hayajanikuta ya kunikuta ndio nataka nimuache mmoja.
umeshazaa na kuwajengea wangapi mkuu?Umeona furaha sio kuwa na vitu lakini. Maana mwanzoni uliyafurahia maisha yake na wewe kisa ya vitu. Sasa hivi unahitaji furaha yako halisi ambayo inatoka ndani ya moyo wako.
Inabidi umzalie usipomzalia atachukua kila kitu na hiyo nyumba atampa atakayemzalia. Binafsi mwanamke akinizalia nyumba namjengea na kumpa mtaji wa biashara ili aishi vizuri na mwanangu na sio kuteseka na mwanangu na huku mie nipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akaaah itabidi anywe kabisaa,Mlongo hii ngumu kumesa
Kabisaaaa nakubali dea.Yani mtu anakupenda, anakuhudumia, amekubadilishia life, yuko proud na wewe.
Umuache kisa ili uwe na mahusiano na kijana.
Ambaye naye atakuchekupukia tu.
Anyways, I'm kinda polygamous.
As naendelea kukua naelewa tu ndoa, titles za mahusiano and all along that line havina uhusiano wa moja kwa moja na aina ya mahusiano one shud have.
Hapa sana sna nakushangaa tu.
Ukikua utanielewa.
Unataka unizalie mkuuumeshazaa na kuwajengea wangapi mkuu?
[emoji23][emoji23]Dada tunaomba update!
NB: hilo penzi jipya litakuponza, nina mifano miwili ya waliokimbilia true love na kuacha mme wa mtu....wamepaukaje sasa in the pursuit ya kuitwa Mrs , lol wanajutaa
Watu wanasema wanawake hamjitambui mi nikadhani ni utani kumbe ni kweli. Nimepata reference kwako.Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.
Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua nimechoka na nahitaji kujing’atua ila nakosa njia nzuri ya kuachana nae. Am not even proud with what i did so if you judge me i’ll understand.
Mnawapaga vitu gani wanaume wenzetu maboya ao husikute hata wazaz wake kijiji wanaishi maisha duni wadogo zake Kula Yao nishidaSasa mimi ni tofauti, kwenye nyumba hakuna hata senti mia yangu niliyowekeza. Mie nilistukia tu napewa kama zawadi ya birthday. Kuna maswali alikuwa akiniuliza tukiwa pamoja kumbe ndio alikuwa anakusanya taarifa za aina ya nyumba ninayopenda na ikajengwa hivyo hivyo na ikawa furnished. Alopanga aliingia na nguo zake tu. Hivyo sijachangia chochote.
Atoe taarifa nyumbani kwakeKuja haina tatizo ila basi atoe taarifa. Kuna wakati unastukia tu saa sita ya usiku katoka safari badala aende kwa mkewe anakuja kwangu!
Kwa Africa mwanamke kutembea na mume wa mtu siyo kesi kesi na ni hatari mwanaume kutembea na mke wa mtuWabona...mie nilijua tuu. Wamama wetu bwana wapuuzi sana ikija suala la watoto wao wa kike wakihudumiwa na mume wa mtu...hawakaripii kabisaaaa. Nilionaga hili kwa bibi yangu tuwards mama yangu mdogo....yeye alikuwa anapokea tuu hajali kuwa mwanae anajenga matatuzo tuu