Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Hta akirudisha bado jamaa atafanya maamuzi magumu.Kwa kiwango cha uwekezaji ina maana jamaa anampenda na ana mpango nae so whatever she does will not end easily.
Kabisa ndo maana anataka kuzaa nae sbb uhakika wa watt wake kuishi vzr
 
Kwetu tayari wanamfahamu ila hawajui kama ni mume wa mtu.
[emoji87][emoji848]
Duh kumbe bora nili escape!
Nilitaka kupewa nyumba,biashara nk!
Ila niliwaza nikaacha japo roho ilikuwa inaniuma hakuna dada asiyetamani maisha mazuri! Nikawa nataka nimerudie yule mtu ila mhh,moyo ulikataa!niligoma niliona kabisa nikitaka kuja kuolewa hapa sitachomoka!
 
Kazi unayo na inakufaa ufanye maamuzi magumu umwambie unachotaka na unatamani kua nan la sivyo utakua sex machine mpka atakapochoka yy ila ukitaka heshima kwenye jamii lazima uumie hata yy akiumia sio dhambi
 
Ni bora kuwa mchepuko wa mwanaume mwenye uhakika wa maisha kuliko kuwa mke wa ndoa wa mwanaume anayebahatisha maisha.[/QUOTE]

Duh,iam jus thinking aloud[emoji848][emoji144]
 
Kaa chini uongee nae kuhusu future yako either akuoe Kama mke wa pili au akuache then kuhusu vitu mrudishie Kama atavihitaji uanze upya

NB ongea nae kwa namna nzuri
 
Tabia zipi? Sina tabia za ajabu japo pia sipo perfect kama binadamu wengine tu. Na ndio mara ya kwanza nimeanzisha mahusiano nje ya haya tulokuwa nayo. Na naona kabisa siwezi kumudu kuwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja. Soon nitakamatwa tu, kwahiyo kabla hayajanikuta ya kunikuta ndio nataka nimuache mmoja.
Waache wote wawili
 
Umeona furaha sio kuwa na vitu lakini. Maana mwanzoni uliyafurahia maisha yake na wewe kisa ya vitu. Sasa hivi unahitaji furaha yako halisi ambayo inatoka ndani ya moyo wako.

Inabidi umzalie usipomzalia atachukua kila kitu na hiyo nyumba atampa atakayemzalia. Binafsi mwanamke akinizalia nyumba namjengea na kumpa mtaji wa biashara ili aishi vizuri na mwanangu na sio kuteseka na mwanangu na huku mie nipo
umeshazaa na kuwajengea wangapi mkuu?
 
Yani mtu anakupenda, anakuhudumia, amekubadilishia life, yuko proud na wewe.

Umuache kisa ili uwe na mahusiano na kijana.

Ambaye naye atakuchekupukia tu.

Anyways, I'm kinda polygamous.
As naendelea kukua naelewa tu ndoa, titles za mahusiano and all along that line havina uhusiano wa moja kwa moja na aina ya mahusiano one shud have.

Hapa sana sna nakushangaa tu.
Ukikua utanielewa.
 
Yani mtu anakupenda, anakuhudumia, amekubadilishia life, yuko proud na wewe.

Umuache kisa ili uwe na mahusiano na kijana.

Ambaye naye atakuchekupukia tu.

Anyways, I'm kinda polygamous.
As naendelea kukua naelewa tu ndoa, titles za mahusiano and all along that line havina uhusiano wa moja kwa moja na aina ya mahusiano one shud have.

Hapa sana sna nakushangaa tu.
Ukikua utanielewa.
Kabisaaaa nakubali dea.
 
Dada tunaomba update!

NB: hilo penzi jipya litakuponza, nina mifano miwili ya waliokimbilia true love na kuacha mme wa mtu....wamepaukaje sasa in the pursuit ya kuitwa Mrs , lol wanajutaa
[emoji23][emoji23]
 
Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.

Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua nimechoka na nahitaji kujing’atua ila nakosa njia nzuri ya kuachana nae. Am not even proud with what i did so if you judge me i’ll understand.
Watu wanasema wanawake hamjitambui mi nikadhani ni utani kumbe ni kweli. Nimepata reference kwako.
Babu aliwahi kuniambia , wanawake ni watoto/kama watoto. meaning decision making yao ni ngumu kuielewa
Akaniambia ( sisi ni wafugaji huku tarime, utajiri wetu ni mifugo/ng'ombe) mkiwa tajiri wanawake wanalalamika , wanasema haya mang'ombe yametuchosha
KUSIPOKUWEPO NA NG'OMBE wanalamikia ufukara
Kwahiyo mazingira yoyote tegemea mwanamke kulalamika
Ukimpenda sana, hataki, atalalamika
usipompenda pia atalalamika
Turudi kwako. unapendwa, umejengewa nyumba, umenunuliwa gari , umepangiwa nyumba tena, ulojengewa umepangisha unakula kodi
Sasa unataka nini hasa
 
Sasa mimi ni tofauti, kwenye nyumba hakuna hata senti mia yangu niliyowekeza. Mie nilistukia tu napewa kama zawadi ya birthday. Kuna maswali alikuwa akiniuliza tukiwa pamoja kumbe ndio alikuwa anakusanya taarifa za aina ya nyumba ninayopenda na ikajengwa hivyo hivyo na ikawa furnished. Alopanga aliingia na nguo zake tu. Hivyo sijachangia chochote.
Mnawapaga vitu gani wanaume wenzetu maboya ao husikute hata wazaz wake kijiji wanaishi maisha duni wadogo zake Kula Yao nishida
 
Kuja haina tatizo ila basi atoe taarifa. Kuna wakati unastukia tu saa sita ya usiku katoka safari badala aende kwa mkewe anakuja kwangu!
Atoe taarifa nyumbani kwake
 
Wabona...mie nilijua tuu. Wamama wetu bwana wapuuzi sana ikija suala la watoto wao wa kike wakihudumiwa na mume wa mtu...hawakaripii kabisaaaa. Nilionaga hili kwa bibi yangu tuwards mama yangu mdogo....yeye alikuwa anapokea tuu hajali kuwa mwanae anajenga matatuzo tuu
Kwa Africa mwanamke kutembea na mume wa mtu siyo kesi kesi na ni hatari mwanaume kutembea na mke wa mtu
 
Back
Top Bottom