Hili ni swali muhimu sana naomba unijibu, umewahi kuishi na mifugo au kuwa mfugaji? Kama umewahi, nenda kapime homa ya marale (sleeping sickness), hii husababishwa na mbung'o, mbung'o wanafanana na nzi ila wao ni wakubwa sana na wanapenda kuishi na wanyama na hung'ata kama mbu na kukuachia vijidudu.