Nimekuwa nikikumbwa na usingizi mzito wakati wa vikao na wakati nikiwa katika nyumba za ibada. Shida yangu nini?

Nimekuwa nikikumbwa na usingizi mzito wakati wa vikao na wakati nikiwa katika nyumba za ibada. Shida yangu nini?

Unakula sana au una uzito uliopitiliza

Tumia chai yenye kahawa kabla ya vikao na kabla ya kwenda kanisani
 
Jaribu uoge kila asubuhi kunapokuchwa unapoelekea kanisani. Acha kulala mida mibovu siku za Jumamosi kuamkia Jumapili. Badili uzito wa nguo unazovaa, vaa simpo sana. Sometime usingizi jau kama huo una sababu zake behind the scene 😂😂😂😂😂😂
 
Hili ni swali muhimu sana naomba unijibu, umewahi kuishi na mifugo au kuwa mfugaji? Kama umewahi, nenda kapime homa ya marale (sleeping sickness), hii husababishwa na mbung'o, mbung'o wanafanana na nzi ila wao ni wakubwa sana na wanapenda kuishi na wanyama na hung'ata kama mbu na kukuachia vijidudu.
Sijawahi kuishi na mifugo, alafu sleeping sickness ni kila Wakati, Mimi usingizi wangu ni selective
 
Back
Top Bottom