Nimekuwa nikiona changamoto ya wauzaji wa nguo online nikaamua kujaribu suluhisho

Kelvin30

Member
Joined
Dec 20, 2025
Posts
13
Reaction score
20
Mimi ni mwanafunzi wa UDSM ninasoma Computer Engineering.
Kwa muda nimekuwa nikiona jinsi teknolojia inavyobadilika kwa kasi, lakini biashara nyingi ndogo hasa za mavazi bado zinapata shida kuendana nayo.

Changamoto kubwa niliyoiona:
wauzaji wana bidhaa nzuri, lakini namna ya kuziwasilisha online inawapunguzia wateja.

Nikaamua kujaribu kujenga kitu kidogo kinachoweza kusaidia hapa.
Program inaitwa Vestis bado iko hatua za mwanzo kabisa, web tu (PC), na bado inajifunza kupitia watumiaji wa kwanza.

Sijaja kuuza chochote.
Ningependa sana kusikia:
  • mawazo yenu
  • nini kingeongeza thamani kwa wauzaji wa nguo
  • au kama idea hii haileti maana kabisa

Kama ungependa kujaribu au kuangalia:
https://www.vestis.tech/

Maoni yoyote yanakaribishwa

vestis.png
 
Ukihitaji solution ya malipo for your platform jisikie huru kunitafuta. 0755815174
 
Fafanua vizuri hii kitu.
Tunataka kurahisisha biashara ya nguo online, ila mwanzoni tumeanza na tatizo la kuwasaidia wafanya biashara kutangaza bidhaa zao kwa urahisi bila kuhitaji mamodo, wataweka picha zao na watapata kitu cha kupost ndani ya muda mchache ila bado tunafanya marekebisho kutokana na maoni ya watu tupo kwenye hatua za mwanzoni
 
Mimi ni mwanafunzi wa UDSM ninasoma Computer Engineering.
Kwa muda nimekuwa nikiona jinsi teknolojia inavyobadilika kwa kasi, lakini biashara nyingi ndogo hasa za mavazi bado zinapata shida kuendana nayo.

Changamoto kubwa niliyoiona:
wauzaji wana bidhaa nzuri, lakini namna ya kuziwasilisha online inawapunguzia wateja.

Nikaamua kujaribu kujenga kitu kidogo kinachoweza kusaidia hapa.
Program inaitwa Vestis bado iko hatua za mwanzo kabisa, web tu (PC), na bado inajifunza kupitia watumiaji wa kwanza.

Sijaja kuuza chochote.
Ningependa sana kusikia:
  • mawazo yenu
  • nini kingeongeza thamani kwa wauzaji wa nguo
  • au kama idea hii haileti maana kabisa

Kama ungependa kujaribu au kuangalia:
https://www.vestis.tech/

Maoni yoyote yanakaribishwa
Mtafte jamaa apa alianzisha ecomerce website inaitwa bishoo. Ienda ukapat kitu.

Changamoto kubw ni wa TZ wengi hawana imani na biashara za online kwani kupigwa ni waziwazi.

KABLA YA PROJECT AYKO NENDA KASOME KUHUSU JUMIA ni e comerce pekee kubwa africa inayoendana na alibaba . Japo inasusua kasome changamoto walizopat
 
Did you try vestis?
 
Thats is a problem we will try to solve, watu wanabadilika pia tunataka kufucos na area ndogo kwa kuanzia, ila i get your concern.
Kwa sasa tu focus na maneno ya town city kwa tz Dar, Arusha, Dom, Mza
 
Back
Top Bottom