Upo sahihi sana mkuu, online business ni kichefu chefu tzMtafte jamaa apa alianzisha ecomerce website inaitwa bishoo. Ienda ukapat kitu.
Changamoto kubw ni wa TZ wengi hawana imani na biashara za online kwani kupigwa ni waziwazi.
KABLA YA PROJECT AYKO NENDA KASOME KUHUSU JUMIA ni e comerce pekee kubwa africa inayoendana na alibaba . Japo inasusua kasome changamoto walizopat
HILI NI TANGAZO TAYARI ??Mimi ni mwanafunzi wa UDSM ninasoma Computer Engineering.
Kwa muda nimekuwa nikiona jinsi teknolojia inavyobadilika kwa kasi, lakini biashara nyingi ndogo hasa za mavazi bado zinapata shida kuendana nayo.
Changamoto kubwa niliyoiona:
wauzaji wana bidhaa nzuri, lakini namna ya kuziwasilisha online inawapunguzia wateja.
Nikaamua kujaribu kujenga kitu kidogo kinachoweza kusaidia hapa.
Program inaitwa Vestis bado iko hatua za mwanzo kabisa, web tu (PC), na bado inajifunza kupitia watumiaji wa kwanza.
Sijaja kuuza chochote.
Ningependa sana kusikia:
- mawazo yenu
- nini kingeongeza thamani kwa wauzaji wa nguo
- au kama idea hii haileti maana kabisa
Kama ungependa kujaribu au kuangalia:
https://www.vestis.tech/
Maoni yoyote yanakaribishwa
View attachment 3517999
Just saying something is copied without hard proof inakatisha tamaa kiaina, the idea was inspired by google but nikasema i want to do it my own way and yes we will make it kwa kiswahili ila kiswahili for me its hard, thats y am starting to make it in english then i will find someone to translate it later, i understand your concernThe idea is good and is highly needed, but sound like copied and pasted???? Tafuta namna ya kuifanya iwe rahisi kwa hao wa Tanzania!
Wafanya biashara wengi kwenye mtandao wana basic Shule kabisa, hicho kingereza umeandika hapo no kigumu kuliko cha platform yeyote!
It's not meant for Tanzanian, and if ni ya Dunia yote, then duniani huko Kuna website kama yako which are top notch!
bro hata ukisoma computer science unaweza kufanya haya?Mimi ni mwanafunzi wa UDSM ninasoma Computer Engineering.
Kwa muda nimekuwa nikiona jinsi teknolojia inavyobadilika kwa kasi, lakini biashara nyingi ndogo hasa za mavazi[/B] bado zinapata shida kuendana nay
Changamoto kubwa niliyoiona:
wauzaji wana bidhaa nzuri, lakini namna ya kuziwasilisha online inawapunguzia wateja.
Nikaamua kujaribu kujenga kitu kidogo kinachoweza kusaidia hapa.
Program inaitwa Vestis bado iko hatua za mwanzo kabisa, web tu (PC), na bado inajifunza kupitia watumiaji wa kwanza.
Sijaja kuuza chochote.
Ningependa sana kusikia:
Kama ungependa kujaribu au kuangalia:
- mawazo yenu
- nini kingeongeza thamani kwa wauzaji wa nguo
- au kama idea hii haileti maana kabisa
https://www.vestis.tech/
Maoni yoyote yanakaribishwa
View attachment 3517999