Usiyatukane mapenzi jitukaneni nyinyi wapenzi ndio huwa mnazinguana! Ujeshi na ulegevu kwenye mapenzi si kitu hata akijua kwa mzazi muelewa atachukulia ni sehemu ya maisha tu.Mumlii umeachwa na una nguvu ya kucheka.???
Mimi ile taqataqa ilivyoniacha nilikonda jamani nilikuwa sili wala silali..!!
Ila sahii ndiyo naona ni uphaller walaqhi', hivi Baba yangu anavyoniamini mwanajeshi wake, akijua uchiinga niliofanya nitaweka wapi sura yangu..??
ktk mahusiano lazima uwe jasiri dalili nliziona mapema, so alivyosema nikaona n muda sahihi .nmepitia mengi so kuachwa nafurahi ili mambo yangu yaende .only simple memory na znafutika within a hourMumlii umeachwa na una nguvu ya kucheka.???
Mimi ile taqataqa ilivyoniacha nilikonda jamani nilikuwa sili wala silali..!!
Ila sahii ndiyo naona ni uphaller walaqhi', hivi Baba yangu anavyoniamini mwanajeshi wake, akijua uchiinga niliofanya nitaweka wapi sura yangu..??
Nimeachwa mchana wa leo, nilimpata mpenzi hapahapa jf, so maisha yanaendelea.
Mumlii umeachwa na una nguvu ya kucheka.???
Mimi ile taqataqa ilivyoniacha nilikonda jamani nilikuwa sili wala silali..!!
Ila sahii ndiyo naona ni uphaller walaqhi', hivi Baba yangu anavyoniamini mwanajeshi wake, akijua uchiinga niliofanya nitaweka wapi sura yangu..?
Hila jamaa mkorofi ww dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahyo unataka kusema Jimbo lipo wazi? Nichukue fomupili inahitaji umuachilie kwenye moyo maana ukiendelea kumfunga kwa kulilia , utaugua. sa naanzaje kuhuzunika huku nmetua mzigo.
Nimeachwa mchana wa leo, nilimpata mpenzi hapahapa jf, so maisha yanaendelea.
WTFMumlii umeachwa na una nguvu ya kucheka.???
Mimi ile taqataqa ilivyoniacha nilikonda jamani nilikuwa sili wala silali..!!
Ila sahii ndiyo naona ni uphaller walaqhi', hivi Baba yangu anavyoniamini mwanajeshi wake, akijua uchiinga niliofanya nitaweka wapi sura yangu..??
Na wewe omba niendelee kuokoka, la sivyo ningetafuta namba za mganga asiye tapeli..!!
Furaha maisha bila bughudha!Nimeachwa mchana wa leo, nilimpata mpenzi hapahapa jf, so maisha yanaendelea.
Watu wanaoendana halafu wanaachana halafu maisha yanaendelea...! Halafu wanaenda huko kwingine wanapandena na wengine halafu nao wanaachana..Nimeachwa mchana wa leo, nilimpata mpenzi hapahapa jf, so maisha yanaendelea.