KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Usiyatukane mapenzi jitukaneni nyinyi wapenzi ndio huwa mnazinguana! Ujeshi na ulegevu kwenye mapenzi si kitu hata akijua kwa mzazi muelewa atachukulia ni sehemu ya maisha tu.Mumlii umeachwa na una nguvu ya kucheka.???
Mimi ile taqataqa ilivyoniacha nilikonda jamani nilikuwa sili wala silali..!!
Ila sahii ndiyo naona ni uphaller walaqhi', hivi Baba yangu anavyoniamini mwanajeshi wake, akijua uchiinga niliofanya nitaweka wapi sura yangu..??