Nimekuwa singo Kwa Miaka 8 sasa, nifanyaje?

Nimekuwa singo Kwa Miaka 8 sasa, nifanyaje?

I know, it has been a minute

Bado nimekuta maswali mengi inbox after been gone for 3 years

Sasa kuna MTU kakwama anaomba atolewe shimoni;

MTU: da penny, nimekuwa singo Kwa Miaka 8 sasa, nataka kurudi kwenye game
Naanzaje? Inakuwaje?

Naanzia wapi?

Haya wapendwa naomba mumsaidie kijana mwenzenu mwenye umri WA Miaka 33

Hapo lazima tuanze na definition ya single, is single not to have only a permanent partner? Or together na ku abstain from sex....
 
Alikua hajapata mtu wa dreams zake miaka yote hio au aliumizwa akaamua kubaki single for a while???....mwambie kama vipi ajiunge na dating app...kule kuna pool ya kutosha ya watu hakosi wa malengo yake,plus its fun and easy way ya ku build confidence kwa mtu kama yeye...
 
Dating app kuna matapeli wakubwa Sana siwez shauri mtu
 
Back
Top Bottom