Nimekuwa singo Kwa Miaka 8 sasa, nifanyaje?

Endelea kukaza
 
Yaani hata bado hajapata timu ya kumsajili halafu anatangaza kuhitaji kupewa na ukapten faster faster hivyo!?
Mwambie apige kwanza Ndondo Cup apate new challenges zilizopo kwa game kwa wakati huu…..
Utajuaje kama alishapigaga akaenda celibacy
 
Ina maana hiyo miaka yote alikuwa hatongozwi au ulikuwa msimamo wake wa kuwa single na sasa anahitaji mwanaume?
Kama ulikuwa msimamo wake maanaake alikuwa na malengo ya huo usingle na sasa ameshaachieve hapohapo pia alikuwa na back up plan kwanini anashindwa kuifanyia kazi njia aliyokuwa amejiamulia?
Vinginevyo kama ana changamoto ambazi wanaume kwao ni ngumu kumsogelea. Awe muwazi ili atakayemudu afungue milango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…