Nimekuwekea baadhi ya maswali ya written interview kwa mliomba utendaji wa kijiji/mtaa

Nimekuwekea baadhi ya maswali ya written interview kwa mliomba utendaji wa kijiji/mtaa

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Aisee kama hupati muda wa kureview kutoboa written ya utumishi na halmashauri itakuwa ndoto. maswali magumu alafu unapewa dk 45, nmeyasoma nimeishia kuopaa njaa. Kwa wale fresher inawawia urahisi, tofauti na mjuba ulikuwa na mishe zako hata kinachoendelea nchini km vile hayakuhusu.

Kwenye viambatanisho ni mchanganyiko wa maswali ya written ya watendaji wa vijiji/mitaa yaliowahi kufanyika au possible kutoka halmashauri mbambali hapa nchini. Yamepigwa picha vibaya kwa sababu upatikanaji wake ni kimazabe
 
IMG-20220606-WA0021.jpg
 
Hiyo ni mitihani ya watoto wa chekechea au?
 
Mkuu,hivi wewe ni umesomea kilimo au sheria?
Labda uniambie shida yako ni nini boss maana nakuona sana hili swali Kila ninapocomment kwenye nyuzi za Ajira humu japo comment zingine ziko tofauti na Ajira Ila utaweka hili swali lako. Unataka pragram aliyesomea/alizosomea mtu za kazi gani .? Kana kwamba we ni HR wa institution yoyote na unagawa kazi hapo Ofisini, Ni members wote wa JF umewamaliza na kujua taaluma walizosomea AU shida ni nini haswa mkuu..? Naomba unijibu mkuu tena kwa hoja na tufunge mjadala kwa amani
 
[emoji1][emoji1] Subiri uone atakavyopaniki
Kipi kinafukufurahisha hapo BwaMdogo...? Halafu nipaniki kwa lipi...? Hv mbona watu wengine mnakuwa kama matahila jamani... Kama ume-assume moja kwa moja kuwa nitampanikia jamaa kwa swali alilouliza basi moja kwa moja inaonesha dhahiri kuwa swali la jamaa haliko sawa, maana kama swali liko sawa huwezi kuguess kitu kama Iko. But kikubwa TUSIFUATILIANE MAISHA ...Nimemaliza
 
Kipi kinafukufurahisha hapo BwaMdogo...? Halafu nipaniki kwa lipi...? Hv mbona watu wengine mnakuwa kama matahila jamani... Kama ume-assume moja kwa moja kuwa nitampanikia jamaa kwa swali alilouliza basi moja kwa moja inaonesha dhahiri kuwa swali la jamaa haliko sawa, maana kama swali liko sawa huwezi kuguess kitu kama Iko. But kikubwa TUSIFUATILIANE MAISHA...Nimemaliza
Ni hio picha
mwananchi_official~p~Cd5XZYMNMNc~1.jpg
 
Hongera sana Mkuu, Ila kumbe hao wenzetu wanafanya mitihani kwa Kiswahili,,duuuh 🤔 Wana Raha sana.
Kama utakuwa na maswali ya interview ya kilimo(Afisa KILIMO) share pia
interview za kilimo mwenyewe nazihitaji sana sijui wanatoaga maswali gani
 
Back
Top Bottom