Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Sawa mkuu, jaribu kuulizia kwa wadau waliowahi fanya kama unawafahamuinterview za kilimo mwenyewe nazihitaji sana sijui wanatoaga maswali gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, jaribu kuulizia kwa wadau waliowahi fanya kama unawafahamuinterview za kilimo mwenyewe nazihitaji sana sijui wanatoaga maswali gani
Nakuuliza kwa wema tu coz huwa naona unasema mara umesomea kilimo mara sheria.so nashindwa kukuelewa kuwa ni mbobezi wa fani gani exactly?afu swali rahisi tu mbona hilo mkuu?nakuuluza mara kwa mara coz hujawahi kunijibu ungekua umewahi kunijibu nisingekua nakuuliza.Labda uniambie shida yako ni nini boss maana nakuona sana hili swali Kila ninapocomment kwenye nyuzi za Ajira humu japo comment zingine ziko tofauti na Ajira Ila utaweka hili swali lako. Unataka pragram aliyesomea/alizosomea mtu za kazi gani .? Kana kwamba we ni HR wa institution yoyote na unagawa kazi hapo Ofisini, Ni members wote wa JF umewamaliza na kujua taaluma walizosomea AU shida ni nini haswa mkuu..? Naomba unijibu mkuu tena kwa hoja na tufunge mjadala kwa amani
Tuma salamu kwa watu watatu tafadhali.Ni members since 2012 it seems ni mkubwa tena unaweza kunizidi kiumri, huo mwaka hata O'level sijamaliza na hata JF siijui.. Hebu nikuache Boss nisije nikakuvunjia heshima yako.
Kwanini umeweka Kilimo na sheria wakati kozi ziko nyingi..? Na kama unaamini nimesema hivyo na unajua kipi kinakufanya uulize KILA WAKATI, unani-provoke au..?(Basi bila shaka Kuna kitu unakifahamu kutoka kwangu.. but regardless nimekujibu au sijakujibu we nikaushie sihitaji disturbance yoyote kutoka kwako, ikiwezekana quote zangu zikaushie tu Wala sio lazima uchangie mijadala na yangu na Wala haitakusaidia kwenye maisha yako au kupata kazi unazozitafuta, Nadhani umenielewaNakuuliza kwa wema tu coz huwa naona unasema mara umesomea kilimo mara sheria.so nashindwa kukuelewa kuwa ni mbobezi wa fani gani exactly?afu swali rahisi tu mbona hilo mkuu?nakuuluza mara kwa mara coz hujawahi kunijibu ungekua umewahi kunijibu nisingekua nakuuliza.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwanini umeweka Kilimo na sheria wakati kozi ziko nyingi..? Na kama unaamini nimesema hivyo na unajua kipi kinakufanya uulize KILA WAKATI, unani-provoke au..?(Basi bila shaka Kuna kitu unakifahamu kutoka kwangu.. but regardless nimekujibu au sijakujibu we nikaushie sihitaji disturbance yoyote kutoka kwako, ikiwezekana quote zangu zikaushie tu Wala sio lazima uchangie mijadala na yangu na Wala haitakusaidia kwenye maisha yako au kupata kazi unazozitafuta, Nadhani umenielewa
kilaza sana ww kuna swali gumu hapo
Tunasubiria mzigo mkuunitaongeza mzigo baadaye
Ukipata ya misitu mkuuTunasubiria mzigo mkuu
Sina watu waliowahi attend interview ya misitu bosi...Ukipata ya misitu mkuu
Samahani Kama una maswali ya kwimba DC ya yatume
Hahaha eti walisema mtazania hujibu swali kwaswali Hana jibu la swali kwa jibu..,Labda uniambie shida yako ni nini boss maana nakuona sana hili swali Kila ninapocomment kwenye nyuzi za Ajira humu japo comment zingine ziko tofauti na Ajira Ila utaweka hili swali lako. Unataka pragram aliyesomea/alizosomea mtu za kazi gani .? Kana kwamba we ni HR wa institution yoyote na unagawa kazi hapo Ofisini, Ni members wote wa JF umewamaliza na kujua taaluma walizosomea AU shida ni nini haswa mkuu..? Naomba unijibu mkuu tena kwa hoja na tufunge mjadala kwa amani
Hata akiwa kilaza we inakuuma nn..mtu amesaidia upate tu ufahamu jinsi maswali yanavyotoka unaanza kumdiscouragekilaza sana ww kuna swali gumu hapo
Kwahyo una shida gani labda naweza kukusaidia dogoHahaha eti walisema mtazania hujibu swali kwaswali Hana jibu la swali kwa jibu..,
Yaani swali kwa mtanzania ni uchawi mkubwa hasa haya ya personal hatari saana,,
Utasikia ukijua itakusaidia nini eh!!