Duh hapo nashindaje hayo maswali nitapiga 100
Mkuu,hivi wewe ni umesomea kilimo au sheria?Hongera sana Mkuu, Ila kumbe hao wenzetu wanafanya mitihani kwa Kiswahili,,duuuh 🤔 Wana Raha sana.
Kama utakuwa na maswali ya interview ya kilimo(Afisa KILIMO) share pia
Labda uniambie shida yako ni nini boss maana nakuona sana hili swali Kila ninapocomment kwenye nyuzi za Ajira humu japo comment zingine ziko tofauti na Ajira Ila utaweka hili swali lako. Unataka pragram aliyesomea/alizosomea mtu za kazi gani .? Kana kwamba we ni HR wa institution yoyote na unagawa kazi hapo Ofisini, Ni members wote wa JF umewamaliza na kujua taaluma walizosomea AU shida ni nini haswa mkuu..? Naomba unijibu mkuu tena kwa hoja na tufunge mjadala kwa amaniMkuu,hivi wewe ni umesomea kilimo au sheria?
[emoji1][emoji1] Subiri uone atakavyopanikiMkuu,hivi wewe ni umesomea kilimo au sheria?
Kipi kinafukufurahisha hapo BwaMdogo...? Halafu nipaniki kwa lipi...? Hv mbona watu wengine mnakuwa kama matahila jamani... Kama ume-assume moja kwa moja kuwa nitampanikia jamaa kwa swali alilouliza basi moja kwa moja inaonesha dhahiri kuwa swali la jamaa haliko sawa, maana kama swali liko sawa huwezi kuguess kitu kama Iko. But kikubwa TUSIFUATILIANE MAISHA ...Nimemaliza[emoji1][emoji1] Subiri uone atakavyopaniki
Ni hio pichaKipi kinafukufurahisha hapo BwaMdogo...? Halafu nipaniki kwa lipi...? Hv mbona watu wengine mnakuwa kama matahila jamani... Kama ume-assume moja kwa moja kuwa nitampanikia jamaa kwa swali alilouliza basi moja kwa moja inaonesha dhahiri kuwa swali la jamaa haliko sawa, maana kama swali liko sawa huwezi kuguess kitu kama Iko. But kikubwa TUSIFUATILIANE MAISHA...Nimemaliza
Ni members since 2012 it seems ni mkubwa tena unaweza kunizidi kiumri, huo mwaka hata O'level sijamaliza na hata JF siijui.. Hebu nikuache Boss nisije nikakuvunjia heshima yako.Ni hio picha View attachment 2252727
Kila Halmashauri Ina ratiba zake(kwenye hzo Ajira watendaji wa mitaa/vijiji). So kama umeomba kazi hizo kuwa unafuatilia matangazo ya Kila Halmashauri husikaMkuu kwani usaili umeanza lini?
interview za kilimo mwenyewe nazihitaji sana sijui wanatoaga maswali ganiHongera sana Mkuu, Ila kumbe hao wenzetu wanafanya mitihani kwa Kiswahili,,duuuh 🤔 Wana Raha sana.
Kama utakuwa na maswali ya interview ya kilimo(Afisa KILIMO) share pia