Nimekuwekea baadhi ya maswali ya written interview kwa mliomba utendaji wa kijiji/mtaa

Nakuuliza kwa wema tu coz huwa naona unasema mara umesomea kilimo mara sheria.so nashindwa kukuelewa kuwa ni mbobezi wa fani gani exactly?afu swali rahisi tu mbona hilo mkuu?nakuuluza mara kwa mara coz hujawahi kunijibu ungekua umewahi kunijibu nisingekua nakuuliza.
 
Ni members since 2012 it seems ni mkubwa tena unaweza kunizidi kiumri, huo mwaka hata O'level sijamaliza na hata JF siijui.. Hebu nikuache Boss nisije nikakuvunjia heshima yako.
Tuma salamu kwa watu watatu tafadhali.
 
Kwanini umeweka Kilimo na sheria wakati kozi ziko nyingi..? Na kama unaamini nimesema hivyo na unajua kipi kinakufanya uulize KILA WAKATI, unani-provoke au..?(Basi bila shaka Kuna kitu unakifahamu kutoka kwangu.. but regardless nimekujibu au sijakujibu we nikaushie sihitaji disturbance yoyote kutoka kwako, ikiwezekana quote zangu zikaushie tu Wala sio lazima uchangie mijadala na yangu na Wala haitakusaidia kwenye maisha yako au kupata kazi unazozitafuta, Nadhani umenielewa
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hahaha eti walisema mtazania hujibu swali kwaswali Hana jibu la swali kwa jibu..,

Yaani swali kwa mtanzania ni uchawi mkubwa hasa haya ya personal hatari saana,,

Utasikia ukijua itakusaidia nini eh!!
 
Interviews zote za sirikali zama hizi ni kujibu tu "Mama anaupiga mwingi" na "CCM daima", na umepita. That is if hawana watu wao waliowachagua tayari of course.
 
Hahaha eti walisema mtazania hujibu swali kwaswali Hana jibu la swali kwa jibu..,

Yaani swali kwa mtanzania ni uchawi mkubwa hasa haya ya personal hatari saana,,

Utasikia ukijua itakusaidia nini eh!!
Kwahyo una shida gani labda naweza kukusaidia dogo
 
Hivi hawa maslahi yao yakoje wakuu na posho zipo ??
Ni ajira ya kudumu ??
Unaweza Panda ngazi na kuwa afisa mtendaji kata (WEO) ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…