Nimelala na wanawake 73 kutoka mwaka 2017 mpaka 2024

Sawa na wanawake 35 kwa mwaka

Bado spidi yako iko chini ongeza mwendo
 
Mkuu Kasikilize wimbo wa ferouz starehe
"kutapika mara 62 kwa week mabega yamepanda juu utadhani yanataka kuchomoka Dokta Nmekuja tu kupima ili nipate uhakika🤣

profesa Jay akajibu "vipimo ni kweli vinaonesha umeathirika"
 
Nimecheka aisee
 
Mke hapana, wakukutuliza atakuwa mwanamme mwenzako. Inaonekana wanawake sio mambo yako
 
Hili ni janga, nadhani vijana wengi wadogo wanaangukia humo,

Hivi mnahesabu ya nini, ni kama mnawachukulia wanawake kama tuzo za kukusanaya nyingi iwezekanavyo ili mjizolee misifa...

Sema mke mzuri unaweza pata, lakini itabidi uache hayo mambo kwanza, naamini mtu akiamua kubadilika na kuishi maisha ya kistaarabu zaidi ataweza.
 
Mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…