Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

Kataa ushoga Tanzania, kataa kibaraka wa Mabeberu kutoka ubeligiji

Piga kura kwa Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
mpiga kura kataa mauaji tanzania,kataa unyanyasaji tanzania,kataa kikundi cha watu wasiojulikana inayomilikiwa na mtawala dhalimu, mpigie kura Lisu kukomesha hayo yote
 
Kataa ushoga Tanzania, kataa kibaraka wa Mabeberu kutoka ubeligiji

Piga kura kwa Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Kala michango ya wahanga wa Tetemeko Kagera na matusi juu. Sidhani kuna mtu wa Kagera atayemchagua. Kawadhalilisha wanawake weusi kwa kusema anawabagua. Si ajabu kwa kuwa tunasikia hata anamnyanyasa festi ledy bila shaka kwa sababu ya weusi wake. Wanawake wote msimchague mkware huyu. Alitangaza kumshughulikia Lissu hadharani na masaa nawili yaliyofuatilia Lissu akamiminiwa risasi nyingi. Msimchague muuaji huyu. Hana utu kabisa. Tumwondoe kwa amani kwa kumnyima kura lakini miaka mingine mitano tutaishi jehanamu tukimchagua.
 
Kataa ushoga Tanzania, kataa msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji

Pia kura kwa Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Magufuli ushindi ni 98%
 
Naungana nawe pakubwa. Mara yangu ya mwisho kupiga kura ni mwaka 1980, chaguzi zote zilizopita tangu miaka hiyo ya themanini nimekuwa sishiriki ama kwa kutokuwepo nchini au kwa kutokuona umuhimu wa kufanya hivyo. Kifupi nimekuwa kwenye lile kundi lisiloshawishika kirahisi!

Uchaguzi huu, kwa maana ya leo, naenda kupiga kura kwa lengo moja la kuwaonyesha mabeberu kuwa sisi watanzania ndio tunaoamua nani awe Rais wa Tanzania, na kamwe hatutakubali mashinikizo yenye lengo la kutawazwa vibaraka.

Mungu ibariki Tanzania.😍
 
Umenena mzee baba
 
Yaani Lisu risasi za kutosha mmepiga, lengo mumuue, kaenda kutibiwa nje mnaona eti kaenda kuuza nchi, hivi nyie mtakuwa mambumbumbu hadi lini? So mlitaka atibiwe hapa ili mtimize lengo lenu la kumuua, uzuri mmeona ni kiasi gani watu wameichoka CCM, pamoja na kujitapa mmefanya mambo mengi mazuri lkn bado mnaogopa maamuzi ya sanduku la kura, mpaka mnaamua kutuzimia mitandao, SHAME ON YOU
 
Hawa watu ni hatari sana aisee!
 
Wewe bwabwaja sisi tumeisha maliza.Lissu mpango mzima.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Hadi dakika hii "kenge kishaanza kutoa damu masikioni...."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…