Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
- #201
Kibaraka kamwe hatakiwi nchi hii
Ni Lissu Pekee 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Lissu Pekee 2020
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mwingi? Uzalendo ni kuiba trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? Tanzania Nchi huru? Uhuru upi? Kuna uhuru Tanzania? Ingekuwa ni Nchi huru mtukufu angefanya ujinga huu wa kuzima Whatsapp tokea jana mpaka Leo ili aue watu Zanzibar na kuiba kura Tanganyika Dunia isijue mpaka NECCCM Tumeccm na Polisiccm wakimtangaza mshindi kwa njia haramu za kishetani
Ha ha haaa! Kwani Robert amefanya kosa gani? Yule ni wakili tuu kama mawakili wengine, anachofanya ni kutetea na kusimamia haki za mteja wake [emoji2375]
Sijawah kuona akilazimisha watu wamchague Lissu. Anachosisitiza ni uchaguzi huru na wenye haki, polisi kuacha upendeleo kwa CCM, kutoa nafasi sawa za wagombea kufanya kampeni bila kusumbuliwa.
Lakin tumeona waziwazi, magufuli amekuwa akisimama na kufanya kampeni maeneo ambayo hajapangiwa (na si tume wala polisi walimzuia) lakin Lissu akifanya hivyo inakuwa nongwa.
Nani ana uthibitisho kwamba lisu ametumwa na mabeberu? Tujuavyo sisi, Lissu alienda ubelgiji kutibiwa [emoji2375] sasa kutumwa hiyo vipi?
CCM ndio chama kinachoogopa sana siasa za haki, ndio maana hata sasa wanahangaika kuzima mitandao (huu ni ushahidi tosha kwamba hali ni tete mnoo kwa CCM)
Wanazima mitandao ili dunia isijue kinachoendelea, lakin hamuwezi kuzima camera za simu. Tutarekodi kila tukio ovu na tutatumia kama ushahidi dhidi ya hao ma policcm.
Hakuna mbabe anaekosa mbabe mwenzie, wako wapi kina Omar Bashir na genge lake?
we safari poa sisi wa hapahapa tunamgoa magu mapema na huu utawala wake wa mabavu na wa kidikiteta na unyanyasaji ulio kidhiri dhidi ya watanzania, acha kuropoka yule ni wakili tu anafanya kazi yake kwa mujibu wa sheria kama hao wa ccm akina wankyo simon na albart msandoNdugu zangu,
Imenilazimu kusafiri kilometa takribani 1000 ili kumuonesha Robert Amsterdam kuwa hawezi kutupangia nani awe Rais wa Tanzania.
Ushindi upo ila tunataka uwe wa kishindo ili akome, apate fundisho yeye na mawakala wake.
Nimeahirisha kufanya biashara ya mamilioni ili kuilinda nchi yangu dhidi ya mabwanyenye.
Umuhimu wa kusafiri kupiga kura ya kizalendo ni kuepuka aibu kwa vizazi vijavyo watanilaumu wakisema "Babu na wenzio mlikuwa wapi hadi mkaruhusu Robert akapandikiza kiongozi?" hapana, sikubali lawama hii kamwe ndio maana nimesafiri kilometa zaidi ya 1000 kuwakomesha wanyonyaji hawa. Kamwe hatutaruhusu yale yaliyotokea mwaka 1884/5 kwenye mkutano wa Berlin yajirudie.
Tanzania ni nchi huru, tutachagua viongozi wetu wenyewe bila kupangiwa. Tanzania kwanza!
kura za ukombozi wa nchi zipo chademaKura za thamani zipo CCM
tumeshammaliza magu tayari kwenye box msaliti wa watanzania akijificha kwenye kinvuli cha wanyonge fisadi mkubwaKesho Watanzania tunaenda kumsulubu msaliti wa nchi kutoka Ubelgiji
KAMA Amsterdamu kula yake ya kimaisha ni kuona damu za watu zinamwagika, Basi wale wanaomuunga mkono lazima tuwaepuke kama ukoma!Hiyo ni kete nyingine ya wakili Amsterdam.
kura za ukombozi wa nchi zipo chadema
tumeshammaliza magu tayari kwenye box msaliti wa watanzania akijificha kwenye kinvuli cha wanyonge fisadi mkubwa
Amani iwe nanyi watu wa Mungu!Sisi Watanzania asubuhi ya leo tumempigia kura Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania, mpenda haki na amani,
Mchapakazi
Mvumilivu
Mnyenyekevu
Mzalendo
Ushasema Mzungu, hv unadhani hatua anazotaka kuchukua zina maslahi kwako!? Wewe kalagabaho, mwenzio Lisu keshapiga deal na washkaji! Mkimpa Nchi tunarejeshwa kwenye zama tulizozikataa.Mleta mada kwani wewe nani?
Unawezaje kumzuia huyu mzungu kuchukua hatua za kisheria?
Unaweza kuwalipa wanasheria mahiri kama yeye kumpinga?
Kama unaweza hayo hapo juu wewe ni kidume, lakini kama unaleta blah-blah kafie jalalani!
Kazi yake ni kuwashitaki wote wanaosababisha umwagikaji wa damu za watu wasio na hatia. Usimwogope. Huyu ni rafiki. Ogopa kama ukoma wale wanaomwaga damu za watu kwa risasi. Tundu Lissu alipigwa risasi, Shehe Ponda alipigwa risasi n.k. Waliotenda hayo tuwaogope kama ukoma na tukiwajua hiyo kazi tumpatie Amsterdam awapeleke kotini kule the Hague.KAMA Amsterdamu kula yake ya kimaisha ni kuona damu za watu zinamwagika, Basi wale wanaomuunga mkono lazima tuwaepuke kama ukoma!
Amstadarm ni wakili tu,Tundu Lisu ndio mgombeaKila mtu ana uhuru wa kumchagua kiongoz anayemtaka,Wagombea wote ni watanzania,Tundu lisu hajatumwa na mtu yeyote kuja kugombea ni uwanaharakat wake mashuhur kuona nchi haijakaa sawa ndio maana akaamua kugombea,hivyo bas Huyo Amstadarm ni Wakili tu kama wakili mwingine kwahiyo kutembea kwako km 1000 sio solution na usitake kutudanganya mtoa post
Mkatili,Sisi Watanzania asubuhi ya leo tumempigia kura Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania, mpenda haki na amani,
Mchapakazi
Mvumilivu
Mnyenyekevu
Mzalendo
Mkatili,
mbabe,
mjeuri,
asiyejali watu,
dikteta,
muuaji
na kila sifa mbaya.
Kwa miaka mitano tumeshuhudia haya kwa Magufuli. Leo tusumpe kura kabisa. Wapo waliofaidi utawala wake lakini wengi wamepigika. Haya shime wananchi.
mnaynyasaji,mdhulumaji,mbinafsi muu-aji mzee wa visasi, tayari tumesha mchinjilia mbali,anategemea huruma za tumeSisi Watanzania asubuhi ya leo tumempigia kura Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania, mpenda haki na amani,
Mchapakazi
Mvumilivu
Mnyenyekevu
Mzalendo
mnaynyasaji,mdhulumaji,mbinafsi muu-aji mzee wa visasi, tayari tumesha mchinjilia mbali,anategemea huruma za tume