Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

Tuangalie namna ya kuilinda hii nchi dhidi ya wale wainyemeleao. Laiti mngejua vita iliyopo dhidi ya hii nchi mngemwombea sana Rais wetu maana dhamira yake ni halisi ila mabeberu wamekasirika sana. Kwa namna ambavyo mioyo yenu imejaa chuki kwa sasa hamuwezi kuelewa haya mambo. Ila tujifunze zaidi kwa wenzetu waliotuzunguka, anzeni hapo Libya muone uhalisia.
Hana uwezo wa kushinda na wazungu wakati ajawekeza kwenye teknolijia aache usela mavi
 
Ndugu zangu,

Imenilazimu kusafiri kilometa takribani 1000 ili kumuonesha Robert Amsterdam kuwa hawezi kutupangia nani awe Rais wa Tanzania.

Ushindi upo ila tunataka uwe wa kishindo ili akome,apate fundisho yeye na mawakala wake.

Nimeahirisha kufanya biashara ya mamilioni ili kuilinda nchi yangu dhidi ya mabwanyenye.

Umuhimu wa kusafiri kupiga kura ya kizalendo ni kuepuka aibu kwa vizazi vijavyo watanilaumu wakisema "Babu na wenzio mlikuwa wapi hadi mkaruhusu Robert akapandikiza kiongozi?"hapana,sikubali lawama hii kamwe ndio maana nimesafiri kilometa zaidi ya 1000 kuwakomesha wanyonyaji hawa. Kamwe hatutaruhusu yale yaliyotokea mwaka 1884/5 kwenye mkutano wa Berlin yajirudie.

Tanzania ni nchi huru,tutachagua viongozi wetu wenyewe bila kupangiwa.Tanzania kwanza!
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mwingi? Uzalendo ni kuiba trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara? Tanzania Nchi huru? Uhuru upi? Kuna uhuru Tanzania? Ingekuwa ni Nchi huru mtukufu angefanya ujinga huu wa kuzima Whatsapp tokea jana mpaka Leo ili aue watu Zanzibar na kuiba kura Tanganyika Dunia isijue mpaka NECCCM Tumeccm na Polisiccm wakimtangaza mshindi kwa njia haramu za kishetani
 
Wewe unaamrisha polise huwezi kutoka usiamrishe polise uone

Hapa niliko hakuna anayerushia mawe police. Wacha nifike kituoni nikashiriki kumchagua rais wangu jasiri muongoza nchi🇹🇿
💚💛💚💛💚🖐👍
 
Wakati wa kurudi hizo kilometre 1000 lazima upate ajari tu maana kuchagua ccm ni laana na mkosi. Labda ukae huko huko.
CCM ndiyo makao makuu ya shetani Duniani
 
Ndugu zangu,

Imenilazimu kusafiri kilometa takribani 1000 ili kumuonesha Robert Amsterdam kuwa hawezi kutupangia nani awe Rais wa Tanzania.

Ushindi upo ila tunataka uwe wa kishindo ili akome,apate fundisho yeye na mawakala wake.

Nimeahirisha kufanya biashara ya mamilioni ili kuilinda nchi yangu dhidi ya mabwanyenye.

Umuhimu wa kusafiri kupiga kura ya kizalendo ni kuepuka aibu kwa vizazi vijavyo watanilaumu wakisema "Babu na wenzio mlikuwa wapi hadi mkaruhusu Robert akapandikiza kiongozi?"hapana,sikubali lawama hii kamwe ndio maana nimesafiri kilometa zaidi ya 1000 kuwakomesha wanyonyaji hawa. Kamwe hatutaruhusu yale yaliyotokea mwaka 1884/5 kwenye mkutano wa Berlin yajirudie.

Tanzania ni nchi huru,tutachagua viongozi wetu wenyewe bila kupangiwa.Tanzania kwanza!
Ha ha haaa! Kwani Robert amefanya kosa gani? Yule ni wakili tuu kama mawakili wengine, anachofanya ni kutetea na kusimamia haki za mteja wake [emoji2375]
Sijawah kuona akilazimisha watu wamchague Lissu. Anachosisitiza ni uchaguzi huru na wenye haki, polisi kuacha upendeleo kwa CCM, kutoa nafasi sawa za wagombea kufanya kampeni bila kusumbuliwa.

Lakin tumeona waziwazi, magufuli amekuwa akisimama na kufanya kampeni maeneo ambayo hajapangiwa (na si tume wala polisi walimzuia) lakin Lissu akifanya hivyo inakuwa nongwa.

Nani ana uthibitisho kwamba lisu ametumwa na mabeberu? Tujuavyo sisi, Lissu alienda ubelgiji kutibiwa [emoji2375] sasa kutumwa hiyo vipi?

CCM ndio chama kinachoogopa sana siasa za haki, ndio maana hata sasa wanahangaika kuzima mitandao (huu ni ushahidi tosha kwamba hali ni tete mnoo kwa CCM)

Wanazima mitandao ili dunia isijue kinachoendelea, lakin hamuwezi kuzima camera za simu. Tutarekodi kila tukio ovu na tutatumia kama ushahidi dhidi ya hao ma policcm.

Hakuna mbabe anaekosa mbabe mwenzie, wako wapi kina Omar Bashir na genge lake?
 
Hapa niliko hakuna anayerushia mawe police. Wacha nifike kituoni nikashiriki kumchagua rais wangu jasiri muongoza nchi🇹🇿
💚💛💚💛💚🖐👍
Wewe ni mnufaika wa tenda za ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge au ni mnufaika wa 10% ununuzi wa Ndege
 
Ha ha haaa! Kwani Robert amefanya kosa gani? Yule ni wakili tuu kama mawakili wengine, anachofanya ni kutetea na kusimamia haki za mteja wake [emoji2375]
Sijawah kuona akilazimisha watu wamchague Lissu. Anachosisitiza ni uchaguzi huru na wenye haki, polisi kuacha upendeleo kwa CCM, kutoa nafasi sawa za wagombea kufanya kampeni bila kusumbuliwa.

Lakin tumeona waziwazi, magufuli amekuwa akisimama na kufanya kampeni maeneo ambayo hajapangiwa (na si tume wala polisi walimzuia) lakin Lissu akifanya hivyo inakuwa nongwa.

Nani ana uthibitisho kwamba lisu ametumwa na mabeberu? Tujuavyo sisi, Lissu alienda ubelgiji kutibiwa [emoji2375] sasa kutumwa hiyo vipi?

CCM ndio chama kinachoogopa sana siasa za haki, ndio maana hata sasa wanahangaika kuzima mitandao (huu ni ushahidi tosha kwamba hali ni tete mnoo kwa CCM)

Wanazima mitandao ili dunia isijue kinachoendelea, lakin hamuwezi kuzima camera za simu. Tutarekodi kila tukio ovu na tutatumia kama ushahidi dhidi ya hao ma policcm.

Hakuna mbabe anaekosa mbabe mwenzie, wako wapi kina Omar Bashir na genge lake?
CCM ni makao makuu ya shetani Duniani
 
Ndugu zangu,

Imenilazimu kusafiri kilometa takribani 1000 ili kumuonesha Robert Amsterdam kuwa hawezi kutupangia nani awe Rais wa Tanzania.

Ushindi upo ila tunataka uwe wa kishindo ili akome,apate fundisho yeye na mawakala wake.

Nimeahirisha kufanya biashara ya mamilioni ili kuilinda nchi yangu dhidi ya mabwanyenye.

Umuhimu wa kusafiri kupiga kura ya kizalendo ni kuepuka aibu kwa vizazi vijavyo watanilaumu wakisema "Babu na wenzio mlikuwa wapi hadi mkaruhusu Robert akapandikiza kiongozi?"hapana,sikubali lawama hii kamwe ndio maana nimesafiri kilometa zaidi ya 1000 kuwakomesha wanyonyaji hawa. Kamwe hatutaruhusu yale yaliyotokea mwaka 1884/5 kwenye mkutano wa Berlin yajirudie.

Tanzania ni nchi huru,tutachagua viongozi wetu wenyewe bila kupangiwa.Tanzania kwanza!
Hili genge la mabeberu hata kama ni KM 100,000 ni muhimu kwenda kuyaumbua kwa kumpigia kura ya ndio Magufuli.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Imeisha hiyo
20201028_072007.jpg
 
Maalim seif kahamasisha vijana kuwapiga mawe police halafu yeye na wanawe wanajifungia ndani wakitii sheria bila shurti.
Vijana amkeni kataeni kutumika
Usiwe mpumbavu, hata kama, kitendo cha Maalim kuwaunganisha tu kinatosha, kila mtu afanye kipande, vitani hatuendi wote, tusioenda tunatoa chakula kwa askari.
 
Namshukuru Mungu nimefika kituoni na kutimiza haki yangu ya kuchagua kiongozi nimtakaye kwa amani kabisa na kwa utaratibu mzuri uliowekwa na NEC. Mungu ibariki Tanzania.
 
Hakika ndugu mzalendo
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani? Uzalendo ni kula 10% kwenye ununuzi wa Ndege , SGR, bwawa la umeme, flyover na miradi yote mikubwa yenye ufisadi mkubwa
 
Back
Top Bottom