Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

Lisu Hana kashfa yeyeto,ni civilized educated na ane exposure na modern economic atatuletea Utawala wa sheria ndio msingi wa haki,Uhuru na maendeleo.watz watakuwa salama awatauliwa,pigwa risasi, bambikwa,zulumiwa mazao yao pesa zao mali zao.Ataleta ajira, nyongeza za mishahara, bima ya afya ni mzalendo halisi ni mtetezi halisi wa wanyonge na sio mnyongaji wa wanyonge kwann tusimpe kura zetu?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] unasemaaaaa?????
 
Hizo km 8500 si za humu nchini, umetoka ughaibuni na Lissu wewe sishangai kumpigia kura, ila umepoteza muda tuu.
Unaondoka lini kurudi huko maana Lissu anaodoka Dec 18.
Mapema kabisa baada ya kuhitimisha haki yangu ya kupiga kura
 
We sio msemaji wetu,sipigagi kura ila mwaka huu naenda kupigia TAL.
Naungana na mtoa mada huu ni uchaguzi wa kuwafurumusha wasaliti wa nchi hii, ambao wako kama walina asali wapo tayari nyuki tuungue wao waline asali HAIWEZEKANI!!
 
Leo bia waongeze uzalishaji ili kuanzia kesho watu walewe kushangilia ushindi
 
Mnvyolishobokea Hilo beberu lenu Amsterdam utadhani ndo kidume pekee mlicho nacho huko chadema.
Nilochogundua huyu jamaa kawanyima usingizi kabisa, ni kidume haswa huyu jamaa.
Acha tu aendelee kukusanya ushahidi.
 
Naungana na mtoa mada huu ni uchaguzi wa kuwafurumusha wasaliti wa nchi hii,ambao wako kama walina asali wapo tayari nyuki tuungue wao waline asali HAIWEZEKANI!!
Kwa hiyo ndio maana mnataka uchaguzi usiwe huru, mko hata tayari kupora ushindi halali.
Kama wananchi hawawataki si muwape haki yao.
Na kama ikitokea mkakubali msiingize kura feki, zipigwe kihalali kisha zihesabiwe mojamoja kama zile zilizopigwa Kule Kigamboni kati ya Makonda na Ndugulile. Yaani CCM SAA NNE asubuhi washatolewa kwenye ramani ya siasa.
 
Mimi ninachoiombea Tanzania yangu ni Amani... hayo mengine wanasiasa mmalizane wenyewe.... msituletee shida ndani ya Tanzania yetu
Haki isipotendeka hakutakuwa na amani. Kama wewe ni muombaji, omba kuwa kila mhusika akatende haki. Ndicho pekee kitakacholeta amani.
 
Hujawahi kupiga kura ya maana baki nayo kamanda
Tumuombe wakati yeye ndio anatubagua kwa itikadi zetu?
Kapandikiza sana chuki baina yetu mimi nilimpigia kura 2015 lakin kesho asahau kura yangu.
 
Kamanda Tanzania ni kwa Watanzania na sio Robert na vibaraka wake
Roberts ameshakusanya ushahidi wa kutosha. Anangojea kukamilisha kesho na wiki ijayo ya matangazo ya walioshinda. Baada ya hapo kila Mtanzania atamjua!!!
 
Mnvyolishobokea Hilo beberu lenu Amsterdam utadhani ndo kidume pekee mlicho nacho huko chadema.
Inaonekana Roberts amekukera sana. Bado mbona? Endeleeni na kuiba kura na kuwatesa WaTz mtajua kuwa Roberts ni nani haswa!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] unasemaaaaa?????
Dola ya Magufuli ilimuua Ben Saa8, Azory Gwanda, Simon Kanguye na wengine wengi. Dola hii imewaumiza wengi kwa kuwateka na kuwasulubu na hata dola hii ilimshambulia Tundu Lissu kwa risasi 16 na moja anatembea nayo kiunoni hadi leo.

Nisemeje tena? Kuna wengi wamefunguliwa kesi za uwongo zisizo na dhamana na wanateseka mahabusu!! Umesikia? Uchaguzi huu ni mwisho wa dola hii ya mauaji.
 
Achana na story za kusadikika, usiongee kitu bila kuwa na evidence. Au mgombea wenu mwanasheria hajawaelekezaa??
 
Ni Bora ungetumia muda utakaoutumia kusafiri kukaa chini kuitafakari Kwa kina akili yako.

Katika mazingira ambayo Uchaguzi umegubikwa na vibweka na vituko. Unadhani hiyo Kura yako nani anaiheshimu huko CCM? Kura yako ingekuwa na thamani zaidi kama ungekuwa wapigia CDM mana ukipigia Kura CDM wapigia Kura Haki. Au wewe mwenzetu kizazi chako kijacho hakitahitaji haki??
Mimi haki ninayo siku nyingi wewe Mbowe kakuchukua mateka ukawa unaamuliwa tuu ndo maana unajiona mtumwa Hadi Sasa. Na bado haachi uenyekiti huko kwenye saccos Yake mtaendelea kuwa utumwani sijui mtajikomboa lini.
 
Ndugu zangu,

Imenilazimu kusafiri kilometa takribani 1000 ili kumuonesha Robert Amsterdam kuwa hawezi kutupangia nani awe Rais wa Tanzania.

Ushindi upo ila tunataka uwe wa kishindo ili akome,apate fundisho yeye na mawakala wake.

Nimeahirisha kufanya biashara ya mamilioni ili kuilinda nchi yangu dhidi ya mabwanyenye.

Umuhimu wa kusafiri kupiga kura ya kizalendo ni kuepuka aibu kwa vizazi vijavyo watanilaumu wakisema "Babu na wenzio mlikuwa wapi hadi mkaruhusu Robert akapandikiza kiongozi?"hapana,sikubali lawama hii kamwe ndio maana nimesafiri kilometa zaidi ya 1000 kuwakomesha wanyonyaji hawa.Kamwe hatutaruhusu yale yaliyotokea mwaka 1884/5 kwenye mkutano wa Berlin yajirudie.

Tanzania ni nchi huru,tutachagua viongozi wetu wenyewe bila kupangiwa.Tanzania kwanza!
Na huo ndiyo uzarendo, siyo kama huyu "Chiba" anayetetea ushoga!
 
Hii ni nukuu au ?
 
Mimi haki ninayo siku nyingi wewe Mbowe kakuchukua mateka ukawa unaamuliwa tuu ndo maana unajiona mtumwa Hadi Sasa. Na bado haachi uenyekiti huko kwenye saccos Yake mtaendelea kuwa utumwani sijui mtajikomboa lini.
Saa Mbovu
 
Back
Top Bottom