The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu kwa comment hii umeitendea haki kabisa ID yako.Tuangalie namna ya kuilinda hii nchi dhidi ya wale wainyemeleao. Laiti mngejua vita iliyopo dhidi ya hii nchi mngemwombea sana Rais wetu maana dhamira yake ni halisi ila mabeberu wamekasirika sana. Kwa namna ambavyo mioyo yenu imejaa chuki kwa sasa hamuwezi kuelewa haya mambo. Ila tujifunze zaidi kwa wenzetu waliotuzunguka, anzeni hapo Libya muone uhalisia.